Iran yaanza kutorosha wanajeshi wake Syria, ni kubaya

Assad sio radical ila Iran ilimwingiza chaka. Kukubali kutumiwa kama kichaka cha Iran kudeal na Israel ikiwa ni pamoja na kupeleka silaha kwa Hezb lazima Israel angetafuta suluhisho la kudumu.
 
mweusi akiwa mwarifu unataka asidhibitiwe ? USA kuna taratibu ukifuata polisi hakulengi risasi ila watu weus wakorofi sn mf yule Floyd unaeza sema alionewa ila hatuoni picha watu weus wamejijengea mbele ya macho ya watu wa rangi mbali na sisi weusi , Turudi kweny mada uislam umeharib nch nyng sn
 
Iran
Iran they didnt see it coming.. hesabu za mzayuni na kaka yake wa kufikia US zilikuwa kali.. alikuwa wanataka kuineutralize Hizolab kuanzia kwenye mzizi.. na naamini Uturuki alishirikishwa na pia kutakuwa na mules ndan ya serikali ya Assad.. yaan walihakikisha wana cordinate kila
Upande
 
Sasa huyu aliyepewa madaraka na Us na Israel Leo unamjua??? Alifanya na ISIS then Alqaeda.... Kitu ni kile kile basi.
👇👇👇👇👇👇👇


Abu Mohammad al-Julani​


Ahmed Hussein al-Shar’a[a] (born 1982) known by his nom de guerre as Abu Mohammad al-Julani,https://en.m.wikipedia.org/wiki/Abu_Mohammad_al-Julani#cite_note-9 is a Syrian militant serving as the second emir of Tahrir al-Sham since 2017.[8] Before cutting ties with Al-Qaeda in 2016,[9] Julani had served as the emir of the now-defunct al-Nusra Front, the former Syrian branch of Al-Qaeda.[10] The US State Department listed Al-Julani as a "Specially Designated Global Terrorist" in May 2013,[11] and four years later announced a $10 million reward for information leading to his capture.[12][13][14]
Abu Mohammad al-Julani
2nd Emir of Tahrir al-Sham
Emir of the Jabhat Fateh al-Sham
Emir of the Al-Nusra Front
Personal details
أبو محمد الجولاني
Incumbent
Assumed office
1 October 2017
Preceded byAbu Jaber Shaykh
In office
28 July 2016 – 28 January 2017
In office
23 January 2012 – 28 July 2016
Born1982 (age 41–42)[1]
Riyadh, Saudi Arabia[1][2]
Nickname'The Conqueror Sheikh'[3]
Military career
AllegianceCurrent:
Syrian Salvation Government (2017–present)
Tahrir al-Sham (2017–present)
Former:
Al-Qaeda (2003–2016)[4]
Jabhat Fateh al-Sham (2016–2017)
Years of service2003–present
RankCommander-in-chief (Tahrir al-Sham)
Battles / wars
The nisba "Al-Julani" in his nom de guerre is a reference to Syria's Golan Heights, mostly occupied and annexed by Israel during the Six-Day War in 1967.[15] Al-Julani released an audio statement on 28 September 2014, in which he stated he would fight the "United States and its allies" and urged his fighters not to accept help from the West in their battle against the Islamic State.[16] In recent years however, he has presented a more moderate view of himself, suggesting he has no urge to wage war against Western nations, and has vowed to protect minorities.[17][18]

Early life​






Military and political career​






















Documentary​


See also​





Notes​


References​














































External links​




Last edited 12 seconds ago by Asqueladd





Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
 
Kambi za Russia hapo Syria zitaendela kuwepo au inabidi azifunge!!!
 
Wacha kwanza watwangane sisi tukija tunawafukuza tu kiulaiiiiiiini
 
Si inasemwa ndege za Israeli hazikuthubutu kuingia Iran? Tena wanasema walirusha vikombora kutokea anga la Iraq? Na wanajiapiza vikombora vyote vya Israel vilikuwa intercepted? Hayo madhara ni yapi tena!
Achana nao hao wehu akina Ritz Na Malaria 2 😀😀😀 huwaga wanajitekenya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…