Iran yaelekeza makombora matano ya nyuklia Israel

Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.

Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel.

Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba amewaambia maofisa wake wa jeshi kuyaweka tayari makombora ya NYUKLIA katika miji mbali mbali na kuyaekeleza upande wa Israel iwapo Israel itajibu shambulizo lao la apo juzi.

Kumekuwq na taarifa kwamba Israel inataka kuvilipua vinu vya NYUKLIA vya Iran hatua ambayo imepingwa hadharani na marekani wakiomba Israel isijaribu kupiga vinu hivyo kwani vitaleta matokeo mabaya sana na vita rasmi,
yanaweza kutunguliwa vilevile, hatishi mtu huyo.
 
Iran kama angekuwa na nuclear angesharushaga mda sana Israel
 
Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.

Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel.

Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba amewaambia maofisa wake wa jeshi kuyaweka tayari makombora ya NYUKLIA katika miji mbali mbali na kuyaekeleza upande wa Israel iwapo Israel itajibu shambulizo lao la apo juzi.

Kumekuwq na taarifa kwamba Israel inataka kuvilipua vinu vya NYUKLIA vya Iran hatua ambayo imepingwa hadharani na marekani wakiomba Israel isijaribu kupiga vinu hivyo kwani vitaleta matokeo mabaya sana na vita rasmi,
dah toka iran ishambulie israel ,wairan wa mtoni mtongani wanatoa thread za ajabu sana,mkuu tulia israel akijibu usije anza kupiga kelele humu
 
Wafuga majini Israel inawauma kuendelea kuwepo!! Kama kuua waislam Al Assad huko Syria kawaua sana hawana shida naye huko China waislam wanafungwa kiholela na huko Myanmar wanauwawa sana tu, ila wao shida ni Israel tu!
Yesu alikuta wazee wake wakifuga majini,yale masumbufu aliyatoa
 
Amefungua nyuzi yake halafu ameikimbia.
 
Weka source ya hayo unayodai yametokea.
🇱🇧🚀🏴‍☠️ Israeli media platform: Military helicopters are evacuating soldiers and officers from Lebanon after an explosive device detonated, targeting a force from the "Golani" Brigade.

🚩 @ResistanceTrench

Wewe subiri,watakutangazia kesho
 
Anyway ni Vita lakini kumbuka ratio ya Muisraeli 01 Waarabu 50.
 
Wafuga majini Israel inawauma kuendelea kuwepo!! Kama kuua waislam Al Assad huko Syria kawaua sana hawana shida naye huko China waislam wanafungwa kiholela na huko Myanmar wanauwawa sana tu, ila wao shida ni Israel tu!
Watu wanapigania uhuru wa Palestina mnaleta stori za China na Myanmar hivi mbona mnapenda kujitoa ufahamu sana?
 
Iran ana nuklia gani acheni unafiki wa kudanganya watu
Hivi kwa akili ya kawaida unadhani Iran hana nyuklia? Hivyo vinu vya nyuklia wanavyotaka kulipua Israel unadhani vinatengenezea biskuti enhe?

Iran hawezi kukaa kizembe kwasababu ana maadui wengi na ana utajiri wa madini ya uranium yanayotengenezea nyuklia.

Iran kujiamini kote huku usifikiri ana AK 47 pekee mzee bali ana mavitu ya maana kabisa ndiyo maana mashog,a kote ulimwenguni wanaogopa kumshambulia.
 
Sijui nyuklia unafikiri ni kama Ak 47, wabongo buana.
Ni mabomu ya maangamizi kila kitu kitabakia majivu.

Watu wanafikiria ni Kama fataki au baruti.

Inasemwa Kuna mabomu ambayo ya nyuklia yakiachiliwa hii dunia Ina acha kuzunguka kwenye orbit yake.
 
Back
Top Bottom