Iran yaelekeza makombora matano ya nyuklia Israel

Hii vita vya Hawa ingependeza
Waachwe mtu 2
Asiwepo wakuingilia au kusaidia hata Pipi Kijiti
Yaani Ipigwa Mtu kati 2 tuone Nani ni Nani.
Hayo unayoyataka yalikuwa yakitokea dunia nyuma ya 1500, kuanzia hapo ni mwendo wa Military Alliance and Mutual friendship between the nations so usitegemee hiko ukitakacho kuja kutokea kwenye dunia ya sasa bwashee
 
Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.

Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel.

Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba amewaambia maofisa wake wa jeshi kuyaweka tayari makombora ya NYUKLIA katika miji mbali mbali na kuyaekeleza upande wa Israel iwapo Israel itajibu shambulizo lao la apo juzi.

Kumekuwq na taarifa kwamba Israel inataka kuvilipua vinu vya NYUKLIA vya Iran hatua ambayo imepingwa hadharani na marekani wakiomba Israel isijaribu kupiga vinu hivyo kwani vitaleta matokeo mabaya sana na vita rasmi,
Hata ww unataarifa?!
Basi yatamlipukia miguuni mwenyewe😇😆😆
iran kichekesho!; Huku akijua nyumba yake ni ya vioo halafu anaanzisha mchezo wa kurushiana MAWE 🙄😜
 
Muwe mnaacha Saa HABARI aka ramli!🗣️🙄
 
Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.

Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel.

Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba amewaambia maofisa wake wa jeshi kuyaweka tayari makombora ya NYUKLIA katika miji mbali mbali na kuyaekeleza upande wa Israel iwapo Israel itajibu shambulizo lao la apo juzi.

Kumekuwq na taarifa kwamba Israel inataka kuvilipua vinu vya NYUKLIA vya Iran hatua ambayo imepingwa hadharani na marekani wakiomba Israel isijaribu kupiga vinu hivyo kwani vitaleta matokeo mabaya sana na vita rasmi,
Nuclear tena!
Si mlisema Iran ana uwezo mkubwa sana kivita hawezwi na Israel.
Sasa naamini muajemi alikula kichapo heavy.
Nuclear huwa ni last option why atumie nuclear dakika za mwanzo za pambano?
 
Lile tukio la bomu la nuclear pale Japani, mpaka sasa watoto wanazaliwa vilema. Hiyo vita iepukwe kwa gharama zote.
 
Back
Top Bottom