uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Sasa imekuwa wazi kwamba iran ana nyukilia kitu ambacho alikuwa anakanusha kila uchao.Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.
Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel.
Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba amewaambia maofisa wake wa jeshi kuyaweka tayari makombora ya NYUKLIA katika miji mbali mbali na kuyaekeleza upande wa Israel iwapo Israel itajibu shambulizo lao la apo juzi.
Kumekuwq na taarifa kwamba Israel inataka kuvilipua vinu vya NYUKLIA vya Iran hatua ambayo imepingwa hadharani na marekani wakiomba Israel isijaribu kupiga vinu hivyo kwani vitaleta matokeo mabaya sana na vita rasmi,
Ni suala la muda tu,wakati ukifika tutayaona makubwa.
Pia ikumbukwe urusi naye anatishia kutumia nyukilia endapo ataandamwa na nchi za magharibi.
Kama Israel iliweza kumuua mgeni wa iran ndani ya mji mkuu wa nchi hiyo,bila kipingamizi,sitashangaa mabomu hayo ya nyukilia yakalipuka ndani ya iran na kuleta madhara makubwa ndani ya nchi hiyo.