Iran yaelekeza makombora matano ya nyuklia Israel

Hivi una ijua nyukilia kweli ww?
 
Netanyahu piga hivyo vinu mpaka gaidi asiamini macho yake
 
haya mambo ya kuamulia ugomvi mm huwa siyaungi mkono kabisa dawa ya ugomvi ni kuacha watu wapeane nakozi mpaka mmoja akubali show ya mwenzie ila huu unafki wa kuanza kugombelezea sio kabisa. Wagombelezeaji mnatukata stimuπŸ€—marekani aache kimbelembele na unafiki, kama mwanaye kawa mkubwa kiasi cha kutaka kutunishiana misuli na baba zake dawa ni kumuacha apate anachokitafuta!!!!
 
Hivi una ijua nyukilia kweli ww?
Wewe unaijua? Zaidi ya kuyajua madhara yake ya Iroshima na Nagasaki yalipotumiwa na Marekani kwa Japan mwaka 1944 kuna kingine unachokijua zaidi? Na wapi ulikiona? Ahahahahaha!!!
 
Iran Wana mabomu ya nyuklia kumbe!??
 
Hii vita vya Hawa ingependeza
Waachwe mtu 2
Asiwepo wakuingilia au kusaidia hata Pipi Kijiti
Yaani Ipigwa Mtu kati 2 tuone Nani ni Nani.
Wakingia kwenye vita rasmi cjuw Kama hata nauli ya kuendea kazini utaimudu
 
Tangu nikiwa mdogo
Huu ugomvi nausikia tu
Ninacho ona
Kama ni mabovu ya nuclear
Uatumike tu
Ili nione mwisho
Nimechoka na magomvi
Yao
 
Makombora tu ya hizi silaha za kawaida yamewashinda, ndio ije kuwa hizo nuclear
 
Mbona kama Ayatolah anatetemeka?
 
Kuwa na Nyuke sio jambo jepesi, Pia mungu aepushe haya mavita aisee.
 
Hii vita vya Hawa ingependeza
Waachwe mtu 2
Asiwepo wakuingilia au kusaidia hata Pipi Kijiti
Yaani Ipigwa Mtu kati 2 tuone Nani ni Nani.
Israhell pamoja na msaada wa shost zake Ana mwaka anapambania ghaza

Israhell bila shoga zake hata kupigana na panya road hatoboi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…