Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

Iran yafanya shambulio kubwa kwenye base ya Israel

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,874
Reaction score
5,685
Iran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi
 
Attachments

  • 1300_ISRAELI_Military_Vehicles_Destroyed_by_IRANIAN_Modern_Drones___GTA-5_#iran_#military_#veh...mp4
    910.7 KB
  • Big_Attack__Israeli_military_base_destroyed_by_Iranian_missiles_in_GTA5_#iranian_#military_#ba...mp4
    1.1 MB
  • 0ea53bd675b8d3c80dcacbc492c3cae4.mp4
    1.8 MB
  • cb576e85274bbd92b806a6d7ffb470c5.mp4
    6.3 MB
Hivi watu wanapata faida gani ya kuuana au kutendana isivyo wakati hapa duniani tumekuja kutalii tu kisha turudi kwetu?.

Ninachukia sana vita na siasa za maji taka
 
Mpumbavu mkubwa .........unatumalizia bando kunguni wa kwenye jamvi wewe
 
Hivi watu wanapata faida gani ya kuuana au kutendana isivyo wakati hapa duniani tumekuja kutalii tu kisha turudi kwetu?.

Ninachukia sana vita na siasa za maji taka
Vita ni vita mkuu....ata uko mbingu palitokeaga vita
 
Attachments

  • Screenshot_20241026-235738.jpg
    Screenshot_20241026-235738.jpg
    468.7 KB · Views: 2
Haijalishi, hakuna anayeshinda vitani.
Kwenye vita pande zote zinapoteza na kuacha mapengo yasiyozibika
Upande giza uapande mwanga....upand vita upande amani.
 
Back
Top Bottom