Move game ya wapi hiiIran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi
Vita ni vita mkuu....ata uko mbingu palitokeaga vitaHivi watu wanapata faida gani ya kuuana au kutendana isivyo wakati hapa duniani tumekuja kutalii tu kisha turudi kwetu?.
Ninachukia sana vita na siasa za maji taka
Haijalishi, hakuna anayeshinda vitani.Vita ni vita mkuu....ata uko mbingu palitokeaga vita
Upande giza uapande mwanga....upand vita upande amani.Haijalishi, hakuna anayeshinda vitani.
Kwenye vita pande zote zinapoteza na kuacha mapengo yasiyozibika
Mkuu hii sio habari yenye ukweli hata kidogo.Iran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi
Sio kila unachokiokota kwenye mitandao kina ukweli mkuu.Mkuu kwahiyo akipigwa Iran ni habari za kweli ila ikipigwa Israel ni habari za uongo?
Mkuu uwe unajiepusha na hizi aibu ndogo ndogo,inamaana hujaona hilo ni gemu?Iran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi