Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Apr 21, 2024 #601 Nanye Go said: Hahaha hasira za nini, Subiri Israel ikipiga dunia nzima itajua. Mtaleta nyuzi humu kwamba anaua wananwake na watoto. Click to expand... Akipiga na yeye atapigwa! Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake.
Nanye Go said: Hahaha hasira za nini, Subiri Israel ikipiga dunia nzima itajua. Mtaleta nyuzi humu kwamba anaua wananwake na watoto. Click to expand... Akipiga na yeye atapigwa! Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake.
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Apr 21, 2024 #602 The choosen one said: Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa Click to expand... Ulivyojitutumua sasa. Nguruvi amekuja, endelea kubishana nae tuone uwezo wako wa kujenga hoja!
The choosen one said: Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa Click to expand... Ulivyojitutumua sasa. Nguruvi amekuja, endelea kubishana nae tuone uwezo wako wa kujenga hoja!
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Apr 22, 2024 #603 George Betram said: Akipiga na yeye atapigwa! Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake. Click to expand... Hahaha Gaza kwa watoto wa Iran siyo? maana anawapa silaha na mafunzo.
George Betram said: Akipiga na yeye atapigwa! Labda apige hapo Gaza kwa watoto wenzake. Click to expand... Hahaha Gaza kwa watoto wa Iran siyo? maana anawapa silaha na mafunzo.