Iran yaishambulia Israel kwa makombora
The IDF reported that it successfully intercepted the "vast majority" of the Iranian ballistic missiles launched towards Israel. These missiles were neutralized by the Arrow air defense system before breaching Israeli airspace. Despite this, a few missiles struck a military base in southern Israel, resulting in minor infrastructure damage.

Additionally, numerous drones and cruise missiles launched from Iran were intercepted by fighter jets. The IDF continues to deploy dozens of Air Force planes to intercept any remaining airborne threats.

Meanwhile, the Home Front Command announced that Israelis are no longer required to remain near bomb shelters.
 
Wewe kumbe hujui hivi vita viko planned, Russia hawezi kabisa pigana vita vingine kwa sasa zaidi ya Ukraine, kumbuka ni NATO wako Ukraine under USA, EU sasa walipigana na Russia muda wote huo kupitia Ukraine ili kumvunja nguvu asiweze saidia nchi yoyote hapo middle East sbb NATO walijua kabisa walichokiona Syria kwani Russia wakati ule alikuwa na nguvu akasaidia Syaria isipigwe na USA, sasa hv Russia hana nguvu kabisa kupigana vita nyingine au kutoa msaada hata Russia sasa hv anaomba msaada wa vifaa vya jeshi nchi marafiki zake sbb hali ni mbaya

So Iran akianza kupigwa hakuna wa kumsaidia kwa sasa ni kuchakazwa tu toka angani na habarini, lakini kumbuka vita vya USA akija full kama Iraq, Libya au Afghanistan hakuna nchi dunia hii itaingilia, utaachwa upigwe ufe na vizazi vyako, tumeona Gaza pia hakuna nchi imeingilia sbb Marekani aliweka ulinzi wa meli kubwa kubwa na warplanes kuzunguka bahari ya Mediterrean na hakuna mtu aliweza zuia Gaza kupigwa

So akili ya kumtegemea Russia sahau hiyo kwa sasa, mjiandae kupigwa na kupotezwa
Acha futuhi vita gani iyo akija full weweee hizo zote kaingia akiwa na shoga zake .hamna vita kaenda full peke ake aka toboa
 
Baada ya kumaliza kuchapa watu viboko wanaokula mchana. Unaona wazayuni wanalaana kuliko wewe. Hongera
Ingekuwa hivyo, nchi zote za kiislamu zingekuwa mifano ya kuigwa na watu wengi wangeenda kuishi huko. Hapo Sudan Waarabu wanaua waislamu weusi km kuku
tulia dawa ikuingie unachanganyikiwa hadi unawataja sudani makombora yamekuchanganya? au umeungana na ndugu zako wazayuni leo ni bangi kwa kwenda mbele
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-074205.png
    Screenshot_20240414-074205.png
    149.7 KB · Views: 4
Iran jana imepiga uwanja wa kijeshi wa israeli kusini mwa israeli huko anapopata kiburi cha kurusha vindege vyake. Sasa ole wake ajibu mashambulizi ndio atajua muajemi hajaribiriwi. Piga mbwa sana haoo.
 
Back
Top Bottom