Umeanza utabiri wako wa Baba Vanga (sijui kama umewahi kumsikia) ukiambiwa leta source:VoA unategemea nini kutoka source ya his Masters voice kama sio wanaongeza chumvi na kusema/zungumza adithi za kubuni/tunga ili kufurahisha baraza - tumekwisha wazoea hawatupi shida...
Sa dalili iko wapi kama hizo ni drone za Iran wakati Mrusi anatengeneza nwenyewe drone, hizo ni Western propaganda wameshindwa vita na Mrusi sa wanatafuta njia ya kudai Urusi kasaidiwa.
Hivi we akilini kwako Mrusi ataishiwa stock wakati hi vita alijua wazi itatokea tokea walipo muweka kibaraka wao Ukraine.
Inatakiwa mzigo ndio uongee wenyewe, Iran anakanusha lakini drone zake zinafungua mabucha Ukraine,Ni balaa ,hao Ulaya wanatangaza lkn makorokoro yao hayana madhara
Wewe mpuuzi watoto wanaouawa Afghanistan,Iraq,Syria,Palestina na kwingineko mbona hua mnaona ni sawa tu?Iran amechagua fungu bovu; kumwaga damu zisizo na hatia za watoto wachanga wa Ukraine!
Kama wewe na wana upinde wenzako mnajua kuwa Iran katuma Drone kwa Russia, mbona hamumshughulikii sasa? Mnabweka tu kama mbwa aliyefungiwa, wakati drones zinaendelea kutoa kichapo kwa mke wenu.Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata...
Suala la muhimu ni kichapo kiendelee, hata kama tunaamini silaha zimetoka mbinguni, na malaika wakakanusha, lililo muhimu kwetu ni kichapo kuendelea, hilo ndilo tunalolisimamia. Lazima tuiepishe dunia na janga la upindeHao Ulaya hawakanushi, wanaanika kabisa mizigo wanayoshusha Ukraine, sasa Iran mbona wanakana, ndio swali la msingi, wanaogopa nini kukubali upande waliouchagua.
Muulize pia huyo myahudi wa kambo kuwa silaha zilizoangamiza Warwanda 1994 na zinazoendelea kuangamiza Wacongo, zinatengenezwa huko kwao Nzega vijijini? Mijitu mingine bure kabisa.Wewe mpuuzi watoto wanaouawa Afghanistan,Iraq,Syria,Palestina na kwingineko mbona hua mnaona ni sawa tu?
Ulitaka Iran achague fungu gani? Nuclear iliyopigwa Hiroshima na Nagasaki iliua watoto wangapi? Yahudi wa Nzega una akili za kushikiwa.
... naona umeanza kuwashwa tena. Endelea!Wewe mpuuzi watoto wanaouawa Afghanistan,Iraq,Syria,Palestina na kwingineko mbona hua mnaona ni sawa tu?
Ulitaka Iran achague fungu gani? Nuclear iliyopigwa Hiroshima na Nagasaki iliua watoto wangapi? Yahudi wa Nzega una akili za kushikiwa.
Izrail amesema na yeye hana namna ataelekeza misaada yake kwa Ukrain, Superpower mrusi choka mbaya hana silaha hana jeshi, ni vile mataifa haya machana kama Iran na umasikini wao wanataka kujizidishaIran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto.
==========
Iran has once again rejected allegations that it has supplied Russia with weapons "to be used in the war in Ukraine", its foreign ministry said Saturday.
Kyiv and many of its Western allies have accused Moscow of using Iranian-made drones in attacks on Ukraine in recent weeks. The topic is expected to be discussed by European Union foreign ministers in a meeting in Luxemburg on Monday.
Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian "emphasized that the Islamic republic of Iran has not and will not provide any weapon to be used in the war in Ukraine," the foreign ministry said in a statement.
"We believe that the arming of each side of the crisis will prolong the war," the Iranian foreign minister said in a call with his Portuguese counterpart Joao Gomes Cravinho.
"We have not considered and do not consider war to be the right path either in Ukraine or in Afghanistan, Syria and Yemen."
In a separate phone call with EU foreign policy chief Josep Borrell on Friday, Amir-Abdollahian reiterated Iran's official stance of neutrality over the war that started nearly eight months ago.
"We have defense cooperation with Russia, but our policy regarding the war in Ukraine is not sending weapons to the conflicting parties, stopping the war and ending the displacement of people," he said.
On Monday, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said Iranian drones were used in Russian attacks on energy infrastructure in several Ukrainian cities.
Last month, Kyiv decided to significantly reduce its diplomatic relations with Tehran over alleged arms deliveries to Russia.
Iran said the decision was "driven by baseless information provided by foreign media propaganda".
Source: VoA
Na nyie pia mnaweza mkaleta source zenu za uarabuni, kila mmoja alete source yake, halafu Iran nilijua ndio tegemeo lenu ila wameonyesha walivyo waoga.
Mtema pumba wa JF huna hoja.... naona umeanza kuwashwa tena. Endelea!
Kama wewe na wana upinde wenzako mnajua kuwa Iran katuma Drone kwa Russia, mbona hamumshughulikii sasa? Mnabweka tu kama mbwa aliyefungiwa, wakati drones zinaendelea kutoa kichapo kwa mke wenu.
Suala la muhimu ni kichapo kiendelee, hata kama tunaamini silaha zimetoka mbinguni, na malaika wakakanusha, lililo muhimu kwetu ni kichapo kuendelea, hilo ndilo tunalolisimamia. Lazima tuiepishe dunia na janga la upinde
Izrail amesema na yeye hana namna ataelekeza misaada yake kwa Ukrain, Superpower mrusi choka mbaya hana silaha hana jeshi, ni vile mataifa haya machana kama Iran na umasikini wao wanataka kujizidisha
Majibu yako wakati mwingine yanakuwa ya kitoto toto!! Hivi majibu yako yanarandana vipi na nilicho fafanua mimi.
Nakushauri zungumza/fafanua mambo ya kuelimisha watu -sio unaleta mambo ya utani utani masaa yote.
Hizo drone ni Nato ndio wanasema na walivyo waongo sa zingine wengine tunamini labda kweli lakini ukwell Mrusi haihtajii msada wa silaha labda anaweza kuhitajia ardhi ya Belarus kwa kuingia Kyiv ili amaliza game this time.Wavaa makobaz siku zote humu mnasifia drones za Iran kwamba mkubwa wenu naye ameskika.
Hizo drone ni Nato ndio wanasema na walivyo waongo sa zingine wengine tunamini labda kweli lakini ukwell Mrusi haihtajii msada wa silaha labda anaweza kuhitajia ardhi ya Belarus kwa kuingia Kyiv ili amaliza game this time.
Leo ni Missile za Mrusi zimetumika kupiga sehemu za viwanda vya mbinumbinu hizo wamepelekewa na Iran au North Korea simna sema zimeisha 😂