MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
Mnavyowavalisha wanajeshi uniform za chekechekea kuwafanya waonekane cheeked, mlidhani hatutajua. Mtandikwa huko huko mnakojificha.
Halafu wavaa makobaz, mliyemtegemea ameanza kulia kulia Jenerali anayetegemewa kufanya miujiza ya kufuta aibu ya Urusi aanza kulia lia