Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Ukraine naye anapokea silaha toka nchi za Ulaya na Amerika,wacha watandikane hadi atakeshindwa asalimu amri.
Raia wanatakiwa kupisha kwenye uwanja wa vita,ndio gharama zenyewe za vita.
vita au uvamiz ?
 
Kwa taarifa yako mimi mkatoliki ila mimi mtazamo wangu huwa hauko based kwa msingi wa imani za kidini bali kwa uhalisia

Hamna Mkristo anayeweza kushabikia maukatili yanayofanywa na hawa watu, na kama kweli Mkristo utakua majirani zako wote ni wavaa makobazi walishakuteka akili.
 
Hamna Mkristo anayeweza kushabikia maukatili yanayofanywa na hawa watu, na kama kweli Mkristo utakua majirani zako wote ni wavaa makobazi walishakuteka akili.
Ukatili wanaofanyiwa wapalestina sio ukatili au wao sio watu?
Marekani alichofanya iraq, afghanistan, vietnam, north korea, syria au wao sio watu? Kwanini mko biased sana na haya yanaendelea kufanyika mpaka sasa.
Kama kweli unapinga ukatili pinga ukatili wa kila mahali.
Mimi sitazami vitu kwa msimamo wa imani lakini kwa uhalisia.
 
Iran haogopi Western countries!
Bali amejielezea vyema kuwa aliwauzia technology ya kuziunda na zinatofautiana Kati ya zile za Iran na Russia ktk ubora.
Kamikaze moja Urusi wanaiunda mpaka kukamilika USD 2,800/=

KWA URUSI HII ANAONA NAFUU, MAANA AKIRUSHA 150 HATA ZIKIDUNGULIWA 100 hana Hasara Sana. Ila zile kombora zinazotumika kudungua mfano zile za Germany Set moja ni USD 3MIL. SASA HAPO LAZIMA LOOSER NI UKRAINE.

TUNARUDI KTK MADA, ZILE DRONES SIO IRANIAN MADE BALI NI RUSSIAN MADE. ILA TEKINOLOGIA ILIUZWA TOKA ILANI ZAMANI.
 
Sa dalili iko wapi kama hizo ni drone za Iran wakati Mrusi anatengeneza nwenyewe drone, hizo ni Western propaganda wameshindwa vita na Mrusi sa wanatafuta njia ya kudai Urusi kasaidiwa.

Hivi we akilini kwako Mrusi ataishiwa stock wakati hi vita alijua wazi itatokea tokea walipo muweka kibaraka wao Ukraine.
Isitoshe yeye amesema ndio ameanza ila hatatumia nguvu nyingi.
 
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto.

==========

Iran has once again rejected allegations that it has supplied Russia with weapons "to be used in the war in Ukraine", its foreign ministry said Saturday.

Kyiv and many of its Western allies have accused Moscow of using Iranian-made drones in attacks on Ukraine in recent weeks. The topic is expected to be discussed by European Union foreign ministers in a meeting in Luxemburg on Monday.

Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian "emphasized that the Islamic republic of Iran has not and will not provide any weapon to be used in the war in Ukraine," the foreign ministry said in a statement.

"We believe that the arming of each side of the crisis will prolong the war," the Iranian foreign minister said in a call with his Portuguese counterpart Joao Gomes Cravinho.

"We have not considered and do not consider war to be the right path either in Ukraine or in Afghanistan, Syria and Yemen."

In a separate phone call with EU foreign policy chief Josep Borrell on Friday, Amir-Abdollahian reiterated Iran's official stance of neutrality over the war that started nearly eight months ago.

"We have defense cooperation with Russia, but our policy regarding the war in Ukraine is not sending weapons to the conflicting parties, stopping the war and ending the displacement of people," he said.

On Monday, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said Iranian drones were used in Russian attacks on energy infrastructure in several Ukrainian cities.

Last month, Kyiv decided to significantly reduce its diplomatic relations with Tehran over alleged arms deliveries to Russia.

Iran said the decision was "driven by baseless information provided by foreign media propaganda".

Source: VoA
Ujumbe kwa Mk254 na mataifa 30 wanaopigana mataifa moja kupitia mamluki mwenye ubongo wa kenge,hamwoni aibu mnavyodhalilishwa?na kukubali kwenu kudhalilisha nawatesa na kuwanyanyasa wengia wasiohusika na fedheha yenu hapo kwa Zeleboy 🥱
 
Iran haogopi Western countries!
Bali amejielezea vyema kuwa aliwauzia technology ya kuziunda na zinatofautiana Kati ya zile za Iran na Russia ktk ubora.
Kamikaze moja Urusi wanaiunda mpaka kukamilika USD 2,800/=

KWA URUSI HII ANAONA NAFUU, MAANA AKIRUSHA 150 HATA ZIKIDUNGULIWA 100 hana Hasara Sana. Ila zile kombora zinazotumika kudungua mfano zile za Germany Set moja ni USD 3MIL. SASA HAPO LAZIMA LOOSER NI UKRAINE.

TUNARUDI KTK MADA, ZILE DRONES SIO IRANIAN MADE BALI NI RUSSIAN MADE. ILA TEKINOLOGIA ILIUZWA TOKA ILANI ZAMANI.
Na ndio maana Mrusi anayanyanyasa mataifa 30 ya watu wasio na akili huku wenyewe walijiona wajuaji wasio na mfano😂😂
 
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto.

==========

Iran has once again rejected allegations that it has supplied Russia with weapons "to be used in the war in Ukraine", its foreign ministry said Saturday.

Kyiv and many of its Western allies have accused Moscow of using Iranian-made drones in attacks on Ukraine in recent weeks. The topic is expected to be discussed by European Union foreign ministers in a meeting in Luxemburg on Monday.

Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian "emphasized that the Islamic republic of Iran has not and will not provide any weapon to be used in the war in Ukraine," the foreign ministry said in a statement.

"We believe that the arming of each side of the crisis will prolong the war," the Iranian foreign minister said in a call with his Portuguese counterpart Joao Gomes Cravinho.

"We have not considered and do not consider war to be the right path either in Ukraine or in Afghanistan, Syria and Yemen."

In a separate phone call with EU foreign policy chief Josep Borrell on Friday, Amir-Abdollahian reiterated Iran's official stance of neutrality over the war that started nearly eight months ago.

"We have defense cooperation with Russia, but our policy regarding the war in Ukraine is not sending weapons to the conflicting parties, stopping the war and ending the displacement of people," he said.

On Monday, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said Iranian drones were used in Russian attacks on energy infrastructure in several Ukrainian cities.

Last month, Kyiv decided to significantly reduce its diplomatic relations with Tehran over alleged arms deliveries to Russia.

Iran said the decision was "driven by baseless information provided by foreign media propaganda".

Source: VoA
Save best for last. Mizigo mipya ya Russia haijaingia sokoni na ndio kinachowaumiza kichwa NATO 😅😅😅😅😅😅

Mnadhani Putin mjinga, mnamvizia mmuchunguze uwezo wake na yeye anatumia kamikaze. Mkitaka kuingiza mguu pale ndio mtajua nguvu halisi ya Russia, jambo NATO na EU wanalijua vema ndio maana unaona wanabwekea makwao, kama Russia ameishiwa silaha kama wanavyokuaminisha wangeshaingia uwanjani. Kwaio tulia acha kututingisha 🤣🤣🤣
 
Ukraine naye anapokea silaha toka nchi za Ulaya na Amerika,wacha watandikane hadi atakeshindwa asalimu amri.
Raia wanatakiwa kupisha kwenye uwanja wa vita,ndio gharama zenyewe za vita.
Ukraine kavamiwa ila Urusi kavamia , hata China na India wanajua kuwa Urusi kakosea na ndio maana kweny huu mgogoro hutokuja kusikia wanasema Ukraine kakosea hapa na hapa , bali sabab wanazotumia ni kusema USA au NATO wamevamia sehem fulan na fulan , ingawaje alievamiwa ni UKRAINE na sio USA au NATO , So mataifa yote dunian yanatambua Urusi kakosea ila ni mahaba na chuki dhidi ya Ulaya ndo yanawafanya wasapoti hayo mauaji kwa kujifanya wapo neutral , sio China wala Irana anaeza sapoti hadharani , historia hutunzwa na inakuja kujirudia na itawahukumu wote waliosapoti mauaji hadharan na wachina , wahindi na wairan wanafaham hili na hawawez jiingiza mtegon kizembe , mpk sasa WAAFRIKA TUMEJIINGIZA MTEGONI , TUNAPENDA MISAADA YA FEDHA ILA HATUEZ SIMAMA NAO KWENY SHIDA , SO BAADA YA HII VITA TUTAZIONA RANGI ZA WAZUNGU VZR , WAKINA OMOND WAMETOBOA MAANA WAMESIMAMA NA WAZUNGU HADHARAN SO TUTEGEMEE KUIONA ISRAEL NYINGINE HAPA EAST
 
Sa dalili iko wapi kama hizo ni drone za Iran wakati Mrusi anatengeneza nwenyewe drone, hizo ni Western propaganda wameshindwa vita na Mrusi sa wanatafuta njia ya kudai Urusi kasaidiwa.

Hivi we akilini kwako Mrusi ataishiwa stock wakati hi vita alijua wazi itatokea tokea walipo muweka kibaraka wao Ukraine.
sasa hv Drone za Iran ni propaganda wkt mlikuwa mnazishabikia [emoji23][emoji23][emoji23] wavaa kobaz akil zero kbs , wao kila kitu ni mabeberu hata waliliwa ndogo watasema Mabeberu ndo walisababisha akaliwa ndogo
 
hivi huko KE hamna issues za kuandika hapa kila siku Iran? we jamaa mbona unakua mpumbavu kaisi hiki? ndio maana nchi ndogo kama ukraine inalisha ngano bara zima la africa sababu ya vijana wa hovyo kama wewe shwain
sasa kuna umuhimu gan wa kuwepo humu kama unampangia mtu kitu cha kushare nasi ?
 
Inatakiwa mzigo ndio uongee wenyewe, Iran anakanusha lakini drone zake zinafungua mabucha Ukraine,Ni balaa ,hao Ulaya wanatangaza lkn makorokoro yao hayana madhara
saa 72 hadi miez 8 sasa
 
Umeanza utabiri wako wa Baba Vanga (sijui kama umewahi kumsikia) ukiambiwa leta source:VoA unategemea nini kutoka source ya his Master's voice kama sio wanaongeza chumvi na kusema/zungumza adithi za kubuni/tunga ili kufurahisha baraza - tumekwisha wazoea hawatupi shida.

Hivi inaingia akilini kwamba Irani inaogopa mtu au Taifa lolote hapa Duniani - kwa kuwa wewe by default ni mbishi sana na unapenda sana kulazimisha mambo.

Hapa nataka nikukumbushe wewe na members wengine wa JF kuhusu umahili wa kiufundi (sayansi na teknolojia) linapo kuja suala la taifa la Kiajemi/Iran ili kudhilisha kwamba Iran haiogopi Taifa lolote - msiwe mnatuletea adithi za vijiweni - la kwanza: Je, unakumbuka mwaka 2011 jinsi Iran ilivyo ishusha kiufundi American Stealth Spy Drone type: RQ-170 Sentinel - US hawakuamini kilicho wapata, mwanzo walisema Wairan ni wazushi, mwishowe USA ilikubali baada ya Wairan kuonyesha picha live - je,Amerika ilichukuwa hatua gani mbona ilikaa kimya na kuiomba Iran iwarudishie Drone yao.

Hilo la kwanza, la pili linahusu Drone tena ya Kimerikani type: RQ-4A Global Hawk, mwaka 2019 Iranian integrated system of air defense ilitungua drone hiyo ya Kimerikani - mbona US ilikaa kimya bila ya kuichukulia Iran hatua yoyote - eti Iran inaogopa!!!

La tatu ambalo ni baya zaidi: miaka kama mitatu iliyo pita Iran ilivurumisha missiles 12 kwenda kushambulia kambi mbili za jeshi la Merikani nchini Iraq, missiles zote zilipiga designated target bila ya kuwa intercepted hata roketi moja licha ya Merikani kujidai kwamba kambi zao za kijeshi ni impregnable ie zinalindwa na ground breaking air defense system, lakini bado missiles za Iran zlifaikiwa kuharibu critical infrastructures pamoja na kujeruhi wanajeshi wengi walio kuwa wamejichimbia kwenye concret reinforced bunkers lakini walihumia na kukimbizwa kwenye Hospitali za Kuwait, Ujerumani na huko Merikani.

Dunia ilitegemea kwamba USA itaishushia Uran mabom kutoka B-52, B-2 nk lakini wapi wapo kimya mpaka sasa - halafu wanakuja waswahili hapa na kudai eti Iran inaogopa, Iran haiwezi kutishiwa Nyau na mifano hipo.

Sasa swali ni:je,missiles za Iran zilijipenyeza vipi kwenye kambi ambazo zinalindwa na teknolojia ya kufa mtu - hii inaleta picha gani kuhusu majigambo ya jamaa hawa,ambao wana kawaida ya kubeza beza teknolojia za Warusi - wakiongozwa na propaganda za MSM, wako very obsessed na everything Russian mpaka unashangaa!!

Tukija kwenye suala la Iran kukanusha kwamba ndio wanawauzia/patia jeshi la Urusi drone za Kamikaze - mbona kidiplomasia hilo ni jambo la kawaida lakini wenye akili wanajua muhusika mkuu ni yupi, hata kulipuliwa kwa bomba za gesi za Nord1 na Nord2 muhusika mkuu anajulikana lakini kwenye Public anakanusha - nyie mnaona ajabu gani Iran kukanusha mkadai eti Iran inaogopa - imuogope nani???
kikosi kimoja kati vikosi 1000 vya wamarekan dhidi ya elite soldiers wa Iran , hlf unatumia scenario hiyo kuwajudge wamarekan kuwa hawaogopwi na wairan , waulize wairan wenyew watakuambia
 
Wewe mpuuzi watoto wanaouawa Afghanistan,Iraq,Syria,Palestina na kwingineko mbona hua mnaona ni sawa tu?

Ulitaka Iran achague fungu gani? Nuclear iliyopigwa Hiroshima na Nagasaki iliua watoto wangapi? Yahudi wa Nzega una akili za kushikiwa.
sasa kama mataifa ya kiarab yapo kimya , sisi kuwalilia unaona ni utimamu huo ? hiz hoja huwa mnazileta akili zikiwa matakon sijui , hizo lawama za Warusi , wachina , wahindi , na wairan , wasaudia , na wajapan kwa kutowasaidia wana asia wenzao badala yake wao wanashabikia tabia km hizo zieneee duniani kote
 
Kama wewe na wana upinde wenzako mnajua kuwa Iran katuma Drone kwa Russia, mbona hamumshughulikii sasa? Mnabweka tu kama mbwa aliyefungiwa, wakati drones zinaendelea kutoa kichapo kwa mke wenu.
kwan mada inasemaj bwashee , hlf usituletee ushoga wako humu km iyo nyuma inawasha njoo upigw mit
 
Suala la muhimu ni kichapo kiendelee, hata kama tunaamini silaha zimetoka mbinguni, na malaika wakakanusha, lililo muhimu kwetu ni kichapo kuendelea, hilo ndilo tunalolisimamia. Lazima tuiepishe dunia na janga la upinde
baada ya kichapo utavaa chupi made in Africa ? au ndo chup zile zile in China ? [emoji23]
 
Muulize pia huyo myahudi wa kambo kuwa silaha zilizoangamiza Warwanda 1994 na zinazoendelea kuangamiza Wacongo, zinatengenezwa huko kwao Nzega vijijini? Mijitu mingine bure kabisa.
AK47 ni za nzega sio ? fuatilien achen kuamin vijiwe vya bang
 
sasa kama mataifa ya kiarab yapo kimya , sisi kuwalilia unaona ni utimamu huo ? hiz hoja huwa mnazileta akili zikiwa matakon sijui , hizo lawama za Warusi , wachina , wahindi , na wairan , wasaudia , na wajapan kwa kutowasaidia wana asia wenzao badala yake wao wanashabikia tabia km hizo zieneee duniani kote
Wewe unaonekana ni choko,ndio maana umewaza na kuandika "matakon" so kukujibu wewe usiyekua na marinda ni kupoteza muda tu,huna akili ya uelewa.
 
Back
Top Bottom