4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mbona mnazikataq hz taarifa baada ya UCHEBE kuzikata hizo dronesHizo drone ni Nato ndio wanasema na walivyo waongo sa zingine wengine tunamini labda kweli lakini ukwell Mrusi haihtajii msada wa silaha labda anaweza kuhitajia ardhi ya Belarus kwa kuingia Kyiv ili amaliza game this time.
Leo ni Missile za Mrusi zimetumika kupiga sehemu za miundo mbinu hizo wamepelekewa na Iran au North Korea simna sema zimeisha [emoji23]