Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Hamna hata siku moja nimeshabikia unyanyasaji wa taifa lolote, yaani leo ushabikie mauaji ya watu wa Ukraine kisa Wapalestina wameuawa halafu unajiita Mkristo, ndio nimekuambia umeshakua brainwashed na hao wavaa makobaz maana wao mauaji na kuchinja chinja watu ndio zao, hata ipo kwenye maandiko yao kabisa wameamrishwa

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Hakuna kitu kibaya hapa Duniani kama mtu kuwa mnafiki.Na ndiyo maana Yesu alisema ni heri uwe baridi au moto,siyo vuguvugu.Ndiyo huyu sasa ndugu yetu.
 
Sijui wapi umeipata hiyo kwenye Biblia ila umesema ni maagizo ya Waisraeli, sio maagizo kwa Wakristo, ila hao waislamu wameagizwa kabisa wachinje asiye muislamu, nimekupa quote ya kurani hapo, kwa kifupi muislamu anayeishi na wewe kwa amani huyo sio muislamu, kadandia tu dini, wale original ni ambao huchinja na kukata vichwa vya watu wasio waislamu.
Japo narudi kwenye hoja yangu, kwamba haipaswi ushabikie mauaji ya maskini wa Ukraine kisa sijui Marekani kafanya nini huko Vietnam, halafu unajiita Mkristo.
Kwani wakristo tunajiita na sisi ni waisrael.
Soma samueli 1 sura 15 kuanzia mstari watatu.
Mungu anawaagiza waue kila kitu wanawake na watoto pia.
Nataka hizi kelele uzipige pia kwa syria, palestina mimi ninachopinga ni double standard kwamba wengine kelele zinakuwa kubwa kuliko wengine. Palestinas, syrians na wengine wamekuwa wakiuawa miaka mingi lakini ni kama vile hakuna kinachotokea
 
Sisi Wakristo huwa hatujiiti Wasiraeli, na maagizo ya Waisraeli enzi hizo za mavita sio maagizo ya Wakristo ambao ulianza kwenye agano jipya, hatuwaui wasio Wakristo, tumeagizwa ukipigwa shavu hili mgeuzie mwenzio la pili. Lakini hao jamaa zako wanafuata kabisa maagizo ya kwenye kurani na kuua kabisa, na wale wasioua hao sio waislamu.

Narudia tena kwenye hoja, hamna sehemu ni,eshabikia mauaji ya Wapalestina au unyanyasaji wowote, na siwezi kuitumia kama ambavyo mnafanya kuhalalisha mauaji ya maskini wa Ukraine.
 
Hakuna kitu kibaya hapa Duniani kama mtu kuwa mnafiki.Na ndiyo maana Yesu alisema ni heri uwe baridi au moto,siyo vuguvugu.Ndiyo huyu sasa ndugu yetu.

Walichokifanya Marekani kule Vietnam ni kosa, ila haihalalishi mauaji ya watu wa Ukraine, hatupaswi kushabikia.
 
Sisi Wakristo huwa hatujiiti Wasiraeli, na maagizo ya Waisraeli enzi hizo za mavita sio maagizo ya Wakristo ambao ulianza kwenye agano jipya, hatuwaui wasio Wakristo, tumeagizwa ukipigwa shavu hili mgeuzie mwenzio la pili. Lakini hao jamaa zako wanafuata kabisa maagizo ya kwenye kurani na kuua kabisa, na wale wasioua hao sio waislamu.

Narudia tena kwenye hoja, hamna sehemu ni,eshabikia mauaji ya Wapalestina au unyanyasaji wowote, na siwezi kuitumia kama ambavyo mnafanya kuhalalisha mauaji ya maskini wa Ukraine.
Inaweza ukasema hushabikii lakini mbona hizi kelele unazopiga hapa huzipigi kwa hao wengine ambao wamekuwa wakiuawa kwa makumi ya miaka. Wa ukraine wameanza kuawa juzi, lakini wapalestina na wasyria wanauawa tu kwa muda mrefu. Mbona hizo kelele hupigi.
Muda mwingine kukaa kimya ina maana unaunga mkono kitu
 
Mwambieni huyo Urusi akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio mtaelewa nini maana ya kupigana na mataifa 30, atafutwa kabisa kwenye uso wa dunia.
Sawa team Zeleboy 🏃🏃
 
Wewe vipi unachokifanya ni ukristo? Mbona hupigi kelele kinachoendelea kwa wapalestina kila siku wanauawa hadi watoto maana mauaji hayajakoma. Eneo lote karibu limechukuliwa.
Mbona hupigi kelele kinachoendelea syria, mbona hukupiga kelele walichofanyiwa iraq.
Kwa hiyo ukristo ni kipiga tu kelele kwa ukraine au ukristo ni akifanya west ni sawa.
Shida unaongozwa na mihemko ya kidini na deep down ukweli unaujua lakini moyo wako ni ngumu kukubali
Ilo halina akili MK254
 
unashabikia bila sabab
Wewe utakua kichaa wa kijijini basi, maana hata huo wako ni ushabiki tu, hakuna lolote linalokuhusu Huko Ukraine. Tuwekee hapa huo ushahidi kama Urusi alishiriki vita ya Iraq.
 
Inaweza ukasema hushabikii lakini mbona hizi kelele unazopiga hapa huzipigi kwa hao wengine ambao wamekuwa wakiuawa kwa makumi ya miaka. Wa ukraine wameanza kuawa juzi, lakini wapalestina na wasyria wanauawa tu kwa muda mrefu. Mbona hizo kelele hupigi.
Muda mwingine kukaa kimya ina maana unaunga mkono kitu

Huko Upalestina huwa tumezoea kuona Israeli inatafutiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia, ka hivyo mara nyingi wamekaa mkao wa kujilinda tangu walipovamiwa kwa mpigo na mataifa ya hao waislamu, na mpaka leo asilimia kubwa ya waislamu huwa wanaapa kuichukia Israeli na kutaka ife kabisa, tumezoea kuona mabomu na makombora yanatupwa kwenda Israeli kila uchao na wakijibu mnaanza kulalamika.

Kwa hivyo issues za huko ni suala mtambuka, sio kitu cha kukurupuka kwa makelele.
Lakini kwa hawa wa Ukraine ambao mnashabikia wauawe, wenyewe ni taifa ambalo lilikua limetulia kwenye mambo yake ya ndani, hao heroes wenu Urusi wakawakuta kwenye nchi yao na kuanza kuwasambaratisha kwa mabomu bila sababu yote ya msingi, mara mnasema wauawe kisa wanajiunga NATO (nchi huru ina uhuru wa kujiunga popote) mara mnasema wauawe kisa ni mashoga.....
 
Kwani russia kuvamia ukraine si ukiukaji wa makubaliano ya nchi zilizoizunguka kutojiunga na Nato ili wasiweke silaha zao mlangoni kwake.
Acha kutetea Israel imechukua ardhi yote ya palestina inatesa na kuua watu wasiokuwa na hatia huu utetezi wako ni justification tu ya ushabiki
 
Urusi kwanza hapo alipo alishajimegea Crimea, tayari alikiuka kila aina ya sheria za kimataifa, hivyo vitaifa vyote vilivyomzunguka vina kila haki ya kujiunga kwenye muungano wowote wa kujilinda, maana ni nchi yao kwenye mambo yao.
Kushabikia Urusi kuua watu wa Ukraine ni kosa kubwa sana....
 
Sa dalili iko wapi kama hizo ni drone za Iran wakati Mrusi anatengeneza nwenyewe drone, hizo ni Western propaganda wameshindwa vita na Mrusi sa wanatafuta njia ya kudai Urusi kasaidiwa.

Hivi we akilini kwako Mrusi ataishiwa stock wakati hi vita alijua wazi itatokea tokea walipo muweka kibaraka wao Ukraine.
Kama nakumbuka vizuri Urusi walisema watamaliza vita ndani ya saa 72,lakini mpaka leo hawaeleweki
 
Kama nakumbuka vizuri Urusi walisema watamaliza vita ndani ya saa 72,lakini mpaka leo hawaeleweki
US pia alisema vita vya Iraq atamaliza kwa saa 48 tu au umesahau, na Iraq alikuwa amepigwa sunction ya kiuhakika hakuna silaha inaongia sababu wote waliokuwa wamemzunguka Iraq wakati ule walikua Madui zake.

Hivi Iraq angekuwa anapelekewa silaha kama vile Ukraine wangemshinda Iraq?

Isitoshe Mad dog alikiri waliwahonga Rushwa wakubwa wamajeshi wa Iraq ndio walishinda kumuangusha Saddam na walitumia silahan zilio haramishwa kutumia.

Unakumbuka G W Bush alisema nini kuhusu Taliban atawatoa Taliban hata kwenye mahandaka kwa kuwatilia moshi au umesahau.

US alitoka Afghanstan na pampers kwa kichapo walicho kipata.

Mrusi ndio super power US akipigwa sanction kama ya Mrusi hawezi shinda vita yoyote ile, ye kisha zoeya kupigana vita kwanza akuweke sanction 😂
 
Kuna njaa Korea,vikwazo vya USA,ndege Iran huanguka Mara kwa Mara watu hupoteza maisha..vikwazo USA na washirika,Iraq wameuawa kwa mamilioni,Afghanistan,Libya,syria, Mali nk...mikono ya USA na washirika
Kama kuanguka ndege hata us zinaanguka sana leo tu f35 imepulizwa na upepo ikaenda chini yenyewe
 
Kupiga makazi ya wananchi na bembea za watoto huwa sio vigumu maana ni maeneo ambayo hayajalindwa kijeshi na ndio maana hadi sasa hawajapiga barrack hata moja licha ya kwamba zipo nyingi. Hata hivyo dawa yao ipo, kwanza Iran ni mnyonge wa Israel na tayari Israel wameanza kutoa tamko, hizo drones zitakua zinatoweka mtashangaa sana wavaa makobaz.
Yanalea VIGAIDI vichanga lazima visambaratishwe

Safi sana RUSSIA
 
mapinduz ya 2014 yalifanywa na nan ?kumtoa rais wa nchi gan ? je huyu rais wa sasa anahusikaj na mamb ya 2014 ? ukute ww ni mtu mzima ila akili za kimbuz zimekutawala
Acha kukurupuka soma uelewe

Haijalishi alitolewa na nani wala aloingia aliingizwa nanani

Ila regime ilokuja baada ya 2014 niya KIGAIDI nainatakiwa iondoke kwamaslahi ustawi na usalama wa RUSSIA na DUNIA nzima kwaujumla

Tena DUNIA yawapenda amani utulivu maisha bora na haki
 
Back
Top Bottom