Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Hehehehe sasa mnaanza kukana hadi drones zenu, ila mtulie hapo maana Iran kajiingiza kwenye huu ugomvi na tujuavyo, Israel hupenda sana kumnyanyasa Iran maana ni mnyonge wake, kwa hivyo Israel hawatatulia mpaka wamuaibishe Iran.
Mwache US na Nato wazionyeshe walizo ziangusha kama kweli za Iran wanaogopa nini kuzionyesha, lakini wanajua wazi hizo drone hazifanani kabisa na drone za Iran wanaogopa dunia nzima wasiwacheke kama Nato hawamuwezi Mrusi
 
Hizo drones wala sio issue, ziendelee kupiga bembea za watoto ila msubiri tuna muarubaini, halafu huyo kiongozi wa nyie wavaa kobaz aache kuogopa, atulie sindano yake imo.
Endelea kujifariji kana kwamba Ukraine yote imajaa bembea
 
yeye atume ila asiogope na kujificha, maana Marekani na ababe wengine wote wanaanika wazi kwamba ametuma za kwao...
Nashangaa sana mkuu wa wavaa makobaz anaogopa ogopa.
Ni lini NATO walisema wametuma silaha Ukraine? Uwe unaelewa mambo, hata Marekani hasemi kuwa kapeleka silaha kwa sababu kufanya hivyo ni kuingia kwenye mzozo huo moja kwa moja jambo ambalo litafanya vita isambae sehemu kubwa. Wanachofanya wanachama wa NATO tena at individual level, ni kutoa msaada wa fedha ambao kimsingi ni mkopo, then jamaa ananinua hizo silaha.
 
Mwache US na Nato wazionyeshe walizo ziangusha kama kweli za Iran wanaogopa nini kuzionyesha, lakini wanajua wazi hizo drone hazifanani kabisa na drone za Iran wanaogopa dunia nzima wasiwacheke kama Nato hawamuwezi Mrusi

Sio NATO au US wanaziangusha, hao wakiingilia hivyo vita huyo Urusi atafutika ukizingatia anavyoteswa na kainchi kadogo hadi amekwenda kukusanya wanywa gongo.
 
Endelea kujifariji kana kwamba Ukraine yote imajaa bembea

Maeneo ya kijeshi ikiwemo barrracks zimewashinda kupiga, maana kila mnachotuma kinapanguliwa, mumeishia kufuata chekechea, ila mfahamu huyo Iran ana mbabe wake Israel, subiri uone atakavyoaibishwa.....na ndio maana anakanusha na kusema drones sio za kwake.
 

Aaah wapi kila siku madude yanashushwa tena ya nguvu na yanafanya maajabu, juzi hapa mumepelekeshwa puta na HIMARS na bado Marekani ameahidi kuzituma zaidi, Ujerumani pia ana madude anatuma ya kushusha hivyo vidrone vya Iran.
Huyo Iran hata akane ajue sindano yake iko motoni, hatuna wasiwasi naye maana tunajua Iran ni mnyonge wa Israel, wavaa makobaz kwa Israel huwa mnakaa.
 
Iran alivyolipiza kisasi kifo cha Quassim kwenye kambi ya Marekani, mabwana zako walifanya nini? Iran ilishusha kitu Israel mkasema sijui kiwanda kimelipuka chenyewe, mlifanya nini baada ya hapo? Ninyi ni dogs in the cage.
 
Mnavyowavalisha wanajeshi uniform za chekechekea kuwafanya waonekane cheeked, mlidhani hatutajua. Mtandikwa huko huko mnakojificha.
 
... acha kucheza ngoma usiyoijua! Kwa kuwa fashisti katamka neno ugaidi pro-fashisti unacheza humo humo. Can you, precisely tell us ugaidi wa Ukraine ni upi? Sana sana utaishia kutukana.
Nitukane!!?

Sijawahi na sijategemea kuwahi kumtukana mtu kisa nn mpaka nikutukane MKUU

Uwe na amani hata sitakaa nikutukane aseee

UGAIDI wa UKRAINE umetokea punde baada ya mapinduzi 2014

MAGAIDI wote wauliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio NATO au US wanaziangusha, hao wakiingilia hivyo vita huyo Urusi atafutika ukizingatia anavyoteswa na kainchi kadogo hadi amekwenda kukusanya wanywa gongo.
Hivi we unadhani Nato hawapo kwenye vita umelala sana, afu kwa kukujulisha Pentagon wenyewe wanasema hakuna dalili kuwa zile drone ni za Iran nyie mmepata wapi hizo habari kama si propaganda za Nato na US sa imebidi Pentagon waseme ukweli mana wanajua wazi wataibishwa kuwa si wa kweli inatosha aibu walio ipata Iraq kwa kuzua Iraq wana weapon of mass destruction

Tazama ndege za Mrusi zinavyo watia kichaa Nato yani air defence zao ni nyimbo tu kipigo kipo pale pale.

 
Iran amechagua fungu bovu; kumwaga damu zisizo na hatia za watoto wachanga wa Ukraine!
Kuna njaa Korea,vikwazo vya USA,ndege Iran huanguka Mara kwa Mara watu hupoteza maisha..vikwazo USA na washirika,Iraq wameuawa kwa mamilioni,Afghanistan,Libya,syria, Mali nk...mikono ya USA na washirika
 
Sio Iran tu wanaoogopa hata China amesema kuhusu Taiwan watatafuta njia ya amani (demokrasia) kuliko kumchezea mnyama hivi hivi
 
Majibu yangu yanaendana na level yako, kwa wavaa makobaz wote mmshikilia akili kwa sasa inabidi mjibiwe ukweli bila kufichwa.
Mwana wa bikira Mariam kobazi zilimvuka Golgotha..mijeledi ya wahuni usipime
 
Hakuna jeshi dhaifu Kama la Israel,wanachoweza ni kuwapiga wapalestina wenye makombeo,hizbullah tu nyege humuisha israel
 
Iran alivyolipiza kisasi kifo cha Quassim kwenye kambi ya Marekani, mabwana zako walifanya nini? Iran ilishusha kitu Israel mkasema sijui kiwanda kimelipuka chenyewe, mlifanya nini baada ya hapo? Ninyi ni dogs in the cage.

Hakulipiza kisasi, alipiga makontena huko Iraq, msijifariji wavaa makobaz wa muddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…