Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya'
Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali yaliyowakatisha tamaa marafiki hao wa Israel.
Rais Perskhan katika mazungumzo na waziri mkuu wa Uiengereza amemwambia kulipiza kisasi ni njia ya kuzuia uovu unaotendeka na ni haki ya Iran kufanya hivyo.
Naye waziri wa mambo ya nje wa Iran,Nasser Kanaani akijibu maombi ya mataifa ya Ufaransa,Italy,Germany na Uiengereza ya kutoendelea ana mipango ya vita ili kutolitumbukiza eneo la mashariki ya kati katika vita vikubwa,waziri huyo amejibu kwa kusema maelezo kama hayo kwanini hayakusikika huko nyuma kuiambia Israel wakati ikiendeleza mauwaji
Waziri huyo wa mambo ya nje wa Iran alimalizia kwa kusema dunia ijiandae tu kuona kitakachoipata Israel.
Habari za hivi karibuni zimesema Iran bado imeazimia kuendeleza kulipa kisasi lakini imetoa muda mpaka baada ya kuona matokea ya maendeleo ya mazungumzo ya kusitisha vita,na kwamba Israel ikikataa kusitishwa kwa vita basi itakuwa ndiyo tiketi ya kuanza kuadhibiwa kwa vita.