Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kasema ama kabadilika ss hv kama hana lengo hilo baada ya kuona regime change kwa ayatollah impossible[emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji12][emoji14]USA kasema lengo sio kuutoa uongozi uliopo madarakani
Kassim alipanga attacks nne, wamemuwahi yeye
Huo mfumo umeekwa lini na kabla ya hizi purukushan mbna haukuwahi kuangusha ndege hata moja ?!Ile haikitunguliwa kwa watu kuilenga bali ni automatic systems waluzojengewa na Warusi. System inayafyatua makombora yenyewe pale inapoona ndege ya kivita ya adui. Sasa cha kujiuliza ni hizo system walizowekewa na Mrusi ni efficient kiaso gani?
Sasa kwenda Iran ni risk kubwa. Mfumo wao wa ulinzi wa Anga ni balaa. Kuna siku mfumo utatungua ndege hata ya Rais.
Usrahell wajiulize wanakwamia wap kama wanaweza ku2nguliwa na mtt walimpita kiteknolojia....Ni mwaka 1988. Lakini Iran inafanya kosa hilo 2020. Yawezekana teknolojia ya US ya 1988 ndiyo waliyo nayo Uran 2020. Does it mean technologically, Iran is almost 32 years behind US?
sasa kama Iran ni wababe mbona wanatungua ndege za kiraia? Ina maana hawazioni F16? si wanatengeneza maadui wengi kwa approach hii?
Good for youAround 17-20 years old.
Good for you
Na mbaya zaidi ndege hiyo ilipita kwenye anga la eneo nyeti la kijeshi ambapo hakuna ndege inayo ruhusiwa kupita.
Inadaiwa, msimamizi aliyekuwa akisimamia na kuuendesha ule mtambo wa ulinzi wa anga aliiona ile ndege katika radar lakini alidhani kuwa ni cruise missile.
Wakati sasa anajaribu kuwasiliana na makao makuu (control center) ili kupata uthibitisho wa hiyo target aliyoiona akakumbana na jamming kwenye mfumo wa mawasiliano, akitizama muda ni sekunde takribani kumi tu kushambulia ama kuiacha hiyo "cruise missile" aliyoidhania iendelee kukaribia na kupiga target yake hivyo akaamua kujichukulia maamuzi magumu kama haya tuliyoyaona na kuyajadili hivi sasa.
Ilikuwa ikielekea upande ambapo kulikuwa na kituo chao nyeti cha kijeshi.
James Harden unaujua umri wake?😝😝Kwanini umebadilisha Avatar yako?? au ili uonekane mkubwa???🤣🤣
ila siwapendi wale wabinua makalio
Hamna Nabii wa kale yeyote aliyewahi kufanya mfanyavyo ninyi umenukuu agano jipya na la kale, kwenye Biblia ya kiingereza kuna matumizi ya neno (fall on his face) hawakuwa wakigonoka makalio juu waamke wagonoke tena.Soma wabinua makalio wenzako hawa hapa;-
Hesabu 20:6, ufunuo 7:11, Mwanzo 17:3, Hesabu 24:4, 1samuel 5:3, 1wafalme 8:6, Mathayo 26:39, Luka 24:5, Waamuzi 13:20, Ezekiel 1:28, Mathayo 2:11, Mathayo 17:6, Mathayo 26:39, Luka 5:12, kumbukumbu 9:18, Isaya 15:3, Ezekiel 9:8, Hesabu 22:31, Yoshua 5:14, nk.