Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
sasa kama Iran ni wababe mbona wanatungua ndege za kiraia? Ina maana hawazioni F16? si wanatengeneza maadui wengi kwa approach hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye Iran wamekiri kuhusika na kutungua ndege ya Ukrain na kuua abiria na wafanyakazi wake wote. Kukubali kwa inaweza kuwa ni kwa sababu kisayansi wasingeweza kukwepa kuhusika. Wamefanya hivyo kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kumiliki na kutunza makombora. Wakipata nuklia hakika watatumaliza
Ndio uue innocent people? Unarmed? Unaware?
Uliokotwa jalalani?
Du ! Mkuu Waberoya. Vita siku zote hazichagui kuua wanajeshi peke yake ! Cha msingi ni kuaacha chokochoko zinazoweza kuleta vita , na ndio maana bunge la Sanate marekani limemzuia Trump kuipiga Iran kukwepa yale ya Iraq na Libya.
Hiki cha kutamka laana hovyo hovyo kwenye dini yenu ndio kinachofanya niichukie kupita maelezo.Mchina anapambana na wanasiasa kutoka Nchi za Mashariki (Umoja wa kisoviet ya zamani)Tukmenidtan, Arzebaijan, kazakhstan, Uzbekistan nk, hao wemeingia kwa Wingi china na China haiwataki humo nchini kwao, karibu hao wote ni Waislamu, kwahiyo kinachofanyika china sio vita dhidi ya Waislamu bali ni vita kati ya serikali ya china na wahamiaji wasiokuwa wachina ambao ni Waislamu, lakini kimsingi sio mapambano ya kidini.
America yeye anapambana na Waislamu nje ya mipaka yake, Kapiga Afghanistan, kapiga Iraq, Kapiga, libya, kapiga Somalia, kapiga Syria, kapiga Sudani, kapiga lebanon akishirikiana na Israel, leo anataka kupiga Iran, kesho atapiga oman, Kapiga Yemen akisaidiwa na Saudi arabia, ilmuradi dunia yote ipo tete kutokana na hili kubwa jinga na uroho wake wa mafuta ili liweze kuendesha mamilioni ya magari nchini mwake na viwanda vyake, America ni jambazi sugu la dunia linalojifanya jitu jema sana huku limejaa hila na uongo.
Laana juu yake, ni hivi punde tu litadondoka kama mbuyu unavyodondoshwa..
Hili swali inabidi tumuulize marehemu Muhammad kwanini aliuwa wayahudi 800-900 wa Quraidha bila hatiaMuulize Amerika ameuwa watu wasiokua na hatia wangapi na mbona hakuanza kubweka humu, hawa jamaa wanafki sana, kwakua kafanya Iran watabweka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, miaka 23 kama bado yuko shule uko mwaka wa tatu au wa pili chuo kikuu.Kwa hiyo miaka 23 unakuwa bado mtoto?
USA kasema lengo sio kuutoa uongozi uliopo madarakani
Kassim alipanga attacks nne, wamemuwahi yeye
Hilo huenda likajulikana hapo baadaye.
Ilikataliwa na nani?
====
Iran Invites NTSB, Boeing to Participate in Ukrainian Plane Crash Investigation
![]()
Iran Invites NTSB, Boeing to Participate in Ukrainian Plane Crash Investigation
Iran has invites NTSB, Boeing to participate in the investigation of the Ukrainian aircraft that crashed near Tehranwww.voanews.com
Isitoshe taarifa za awali kabisa zilikuwa na mkanganyiko kutokana na kuwa hata viongozi wa juu hususani wa kijeshi walikuwa hawafahamu chochote kuhusiana na kuangushwa kwa hii ndege, kila mmoja akawa anasema lake.Mwanzoni walikataa ila baadae walishindwa analyse data ikabidi waombe msaada na NTSB wameomba permit kwenda Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Inadaiwa, msimamizi aliyekuwa akisimamia na kuuendesha ule mtambo wa ulinzi wa anga aliiona ile ndege katika radar lakini alidhani kuwa ni cruise missile.Ile ndege ilikuwa yaondoka Vyovyote vile radar za jeshi zilionesha yaondoka iran iweje ipigwe bahati mbaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki cha kutamka laana hovyo hovyo kwenye dini yenu ndio kinachofanya niichukie kupita maelezo.
.
Mwenye uwezo wa kulaani duniani yuko mmoja tu naye ni aliyekuzaa wewe na mimi na wengineo yani (mama) na si vinginevyo nyie hata muwe organized wote muilaani katu nakwambia mtakuwa itakuwa ni wastage of time.
.
Magroup mbalimbali ya maislamu hili neno laana limewatawala sana ninyi hamfundishwi huko madrasa laana ni nini?
.
![]()
What’s happening with the Muslims of Uyghurs in China?
Answer (1 of 63): Disclaimer Don't judge my political stands and national preferences. I am neither an employee in any government office nor a practitioner in any academic institution. What I have said is just what I have said, don’t take it seriously. Fact-checking 1: South Xinjiang isn’t shor...www.quora.com
Fungua hiyo link ujifunze
Yes, miaka 23 kama bado yuko shule uko mwaka wa tatu au wa pili chuo kikuu.
Na kama ni mtoto wa kiislamu wakiume ana mke na ndoa ina miaka miwili au mitatu, kama ni wakike ana watoto watatu tayari.
.
Hiyo tabia ya kujiinua na kuita watu wakubwa humu wapumbavu iache kabisa kuna baba zako humu
What is you're thought about my age?Na wewe unajifanya mkuubwa,🤣🤣
Ungetuliza map ukasoma vizuri post yangu...ungejua
nimeongea nini
Kikosi cha uchunguzi kutoka Ukraine kimedai kuwa kombora lililoitungua ndege ya Ukraine nchini Iran liligonga sehemu ya mbele chini kidogo na mahali ambapo rubani na jopo lake hukaa ili kuiongoza ndege (cockpit).
====
UPDATE: Ukrainian investigators believe the flight crew of the Ukrainian jet was killed instantly when a missile exploded next to their cockpit, penetrating the aircraft with shrapnel and sending it hurtling to the ground on fire.
In an interview at the presidential offices in Kyiv, Oleksiy Danilov, the head of Ukraine's National Security and Defence Council, provided CBC News with an in-depth look at the progress of investigation into Flight PS752, which went down near Tehran on Jan. 8.
"You can only imagine what happened there [the cockpit]," said Danilov. "We understand now that the death was instant, unfortunately."
Photos released by Ukraine's presidential office show parts of the aircraft's cockpit, blackened and pierced by small holes, which investigators say came from the missile as it exploded. [CBC News]