Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Angalau basi muwe mnafuatilia taarifa ya habari. Kama hilo ni gumu angalau tumia sehemu yako ya akili japo kidogo.

Anga ya Iran ilikuwa kwenye war zone! Na radar huwa haionyeshi ndege ya raia au ya kijeshi. Kinachoonekana ni object tu. Kwenye tension waliyokuwa nayo Iran ya kurusha makombora kwenye kambi ya Amerika nchini Iraq unafikiri kitakachokatiza kwenye anga yao watakiuliza?

Jaribu kufikiri tu! Hata Tanzania ingelikuwa kwenye hiyo hali halafu iwe ndege inapita kwenye anga yake itaiuliza?

Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
Muwage mnafuatilia habari ndugu zangu watanzania ... Ndege imetokea Tehran kwenda Kiev ulitaka isitumie anga ya Iran??

Yaani unauliza eti anga ya Iran ilikuwa under war wakati hiyo Ndege imetokea hapohapo Iran kwenda Ukraine kwa hiyo hukutaka itumie anga ya iran... Ni sawa na wewe uulize Ndege imetokea Dar kwanini itumie anga ya Tanzania !!!!! Lmao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye Iran wamekiri kuhusika na kutungua ndege ya Ukrain na kuua abiria na wafanyakazi wake wote. Kukubali kwa inaweza kuwa ni kwa sababu kisayansi wasingeweza kukwepa kuhusika. Wamefanya hivyo kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kumiliki na kutunza makombora. Wakipata nuklia hakika watatumaliza
Mwambie Trump aache uchokozi usio na lazima ! Hayo ni matokeo ya ubabe wake, wanaoathirika wengine kabisa !
 
Hatimaye Iran wamekiri kuhusika na kutungua ndege ya Ukrain na kuua abiria na wafanyakazi wake wote. Kukubali kwa inaweza kuwa ni kwa sababu kisayansi wasingeweza kukwepa kuhusika. Wamefanya hivyo kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kumiliki na kutunza makombora. Wakipata nuklia hakika watatumaliza
Rudia kusoma ulichoandika hafu utueleze masuala ya ndege za abiria kudunguliwa yameanzia kwa Iran?
 
Du ! Mkuu Waberoya. Vita siku zote hazichagui kuua wanajeshi peke yake ! Cha msingi ni kuaacha chokochoko zinazoweza kuleta vita , na ndio maana bunge la Sanate marekani limemzuia Trump kuipiga Iran kukwepa yale ya Iraq na Libya.

Sawa ila atleast wangeuawa raia wa USA hawa ni mbali na wahusika

Utetezi wao ni kuwa walikosea ku identify ndege walijua ni ya kivita ya USA

Mdororo wa uchumi na vyombo duni vimeionyesha dunia, Iran hawezi vita
 
Kweli Quran ni kichaka kimekupoteza mpaka wewe....kama kilimpoteza Muhammad mwenyewe wewe ni nan kisikupoteze
Wewe unakurupuka kwenye mambo ya Qur'an wakati yale ya Biblia yanakushinda: "Ondoa boriti jichoni mwako ndipo uweze kuona vyema na kutoa kibanzi jichoni kwa mwenzako"

Soma hekima ya viapo ndani ya Biblia yako kwanza ndipo uje kushughulika na Viapo vya ndani ya Qur'an.

Kaa kitako bila papara wala jazba wala husuda, wala chuki moyoni dhidi ya uislamu na soma (waebrania 6:16-18), ili ujue hekima ya Watu kula viapo na wale viapo kwa nani, pia utajua hekima ya Mungu kula kiapo na ale kiapo kwa kitu gani, na pia utajua kiapo kina faida ipi, the significance of taking an oath.
Poa twende kwenye bible
;
Waebrania:6.13
Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake,
akisema, Hakika yangu kubariki nitakubariki, na kuongeza nitakuongeza.
17
Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha zaidi sana warithio ile ahadi, jinsi mashauri yake yasivyoweza kubadilika, alitia kiapo katikati;
18
ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu

Hapa in short paulo anasema YHWH alitoa vitu viwili kwa Ibraham; Ahadi na kiapo... aliapa kwa jina lake mwenyewe kwakuwa HAKUNA mkubwa kuliko yeye wa kumuapia...na hivo vitu viwili mungu hakudanganya na havitabadilika...

Tukirudi kwa Allah yeye aliapia hadi farasi na maua etc.
Hivo mimi sikumuiga YHWH kuapia jua bali nilimuiga Allah ndomana nikaapa kwa jua
 
Senseless waambie wajomba zako America utemi zilipendwa kitambo sana
Hatimaye Iran wamekiri kuhusika na kutungua ndege ya Ukrain na kuua abiria na wafanyakazi wake wote. Kukubali kwa inaweza kuwa ni kwa sababu kisayansi wasingeweza kukwepa kuhusika. Wamefanya hivyo kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kumiliki na kutunza makombora. Wakipata nuklia hakika watatumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila atleast wangeuawa raia wa USA hawa ni mbali na wahusika

Utetezi wao ni kuwa walikosea ku identify ndege walijua ni ya kivita ya USA

Mdororo wa uchumi na vyombo duni vimeionyesha dunia, Iran hawezi vita
Asante mkuu ! Tukubaluane tu ya kwamba vita siku zote ni mbaya kwa sababu yaweza umiza wasio husika.

Rhetoric ya Trump kwa Iran and indeed kwa mataifa mengi tuu ni ya vita vita vita ! He taunts the supreme power of the US Army in fighting multiple wars and crushing any nation that goes against his way of thinking ! Ni kweli US ina nguvu nyingi sana lakini kutishia mataifa yote sio busara for the consequences are dire should the seemingly weak nations decide to unleash their fire power as well !

Marekani inaweza kuimaliza Iran kwa muda mfupi kama ilivyokua Iraq, lakini in the process Mataifa kama Saudi Arabia na Israel yatakua kwenye wakati mgumu sana yakipokea thousands of missiles from Iran. Countries like Rusia, Turkey, China who have interests in Iran might be drawn into the proxy war ! Therefore it is to the interest of the US to exercise restraint for the good sake global peace.
 
Kama inaonyesha mdororo wa uchumi na vifaa duni vimewaathiri America iingie sasa kiulaini kuangusha utawala uliopo ili kum keep safe Israel mtoa roho?
Sawa ila atleast wangeuawa raia wa USA hawa ni mbali na wahusika

Utetezi wao ni kuwa walikosea ku identify ndege walijua ni ya kivita ya USA

Mdororo wa uchumi na vyombo duni vimeionyesha dunia, Iran hawezi vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye Iran wamekiri kuhusika na kutungua ndege ya Ukrain na kuua abiria na wafanyakazi wake wote. Kukubali kwa inaweza kuwa ni kwa sababu kisayansi wasingeweza kukwepa kuhusika. Wamefanya hivyo kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kumiliki na kutunza makombora. Wakipata nuklia hakika watatumaliza
Acha ujinga kijana! Hiyo inaitwa "collateral damage". Marekani na Israel washafanya matukio kama haya ya kuua "untargeted or unarmed civilians" zaidi ya milioni; ingawa wanakili lakini hawajawahi kuomba radhi wala kujutia kama walivyofanya Iran. Au unabisha?
 
Kweli Quran ni kichaka kimekupoteza mpaka wewe....kama kilimpoteza Muhammad mwenyewe wewe ni nan kisikupotezePoa twende kwenye bible
;
Waebrania:6.13
Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake,
akisema, Hakika yangu kubariki nitakubariki, na kuongeza nitakuongeza.
17
Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha zaidi sana warithio ile ahadi, jinsi mashauri yake yasivyoweza kubadilika, alitia kiapo katikati;
18
ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu

Hapa in short paulo anasema YHWH alitoa vitu viwili kwa Ibraham; Ahadi na kiapo... aliapa kwa jina lake mwenyewe kwakuwa HAKUNA mkubwa kuliko yeye wa kumuapia...na hivo vitu viwili mungu hakudanganya na havitabadilika...

Tukirudi kwa Allah yeye aliapia hadi farasi na maua etc.
Hivo mimi sikumuiga YHWH kuapia jua bali nilimuiga Allah ndomana nikaapa kwa jua

Wewe kwakuwa uelewa wako ni mdogo, sasa nina kung'olea kipande ambapo point ndiyo ipo hapo, the point lies in that extract.;

Hebrew 6:16-18;

------ he (God) confirmed it with OATH. God did this so that by two unchangeable THINGS in which it is impossible for God to lie.

Hapo unaona kwamba Mungu wa Biblia anakula kipo kwa VITU viwili visivyo badilika ili asionekane Muongo kwa ahadi zake.

Narudia kufafanua maana akili yako ya kuelewa mambo ni kaputi; Mungu wa.Biblia naye anakula kiapo kwa kurejea vitu viwili visivyo badilika (two unchangable things), kwa kuapa kwa vitu hivyo hawezi kuonekana Muingo kwasababu vitu hivyo havibadiliki kwa sifa zao.

Kwahiyo usilaumu Qur'an wakati jambo mithili ya hilo limo ndani ya Biblia, hiyo ndiyo point yangu.

Yakupasa usome kwanza Biblia ndipo uje kwa ajili ya Qur'an.
 
Back
Top Bottom