Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Muwage mnafuatilia habari ndugu zangu watanzania ... Ndege imetokea Tehran kwenda Kiev ulitaka isitumie anga ya Iran??Angalau basi muwe mnafuatilia taarifa ya habari. Kama hilo ni gumu angalau tumia sehemu yako ya akili japo kidogo.
Anga ya Iran ilikuwa kwenye war zone! Na radar huwa haionyeshi ndege ya raia au ya kijeshi. Kinachoonekana ni object tu. Kwenye tension waliyokuwa nayo Iran ya kurusha makombora kwenye kambi ya Amerika nchini Iraq unafikiri kitakachokatiza kwenye anga yao watakiuliza?
Jaribu kufikiri tu! Hata Tanzania ingelikuwa kwenye hiyo hali halafu iwe ndege inapita kwenye anga yake itaiuliza?
Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
Yaani unauliza eti anga ya Iran ilikuwa under war wakati hiyo Ndege imetokea hapohapo Iran kwenda Ukraine kwa hiyo hukutaka itumie anga ya iran... Ni sawa na wewe uulize Ndege imetokea Dar kwanini itumie anga ya Tanzania !!!!! Lmao
Sent using Jamii Forums mobile app