Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I agree with you 100 % majasusi wengi wa Marekani na Israel wanatumia passport za Canada na Australia hivyo walikuwa wanasepa na documents Nyeti za nchi ya Iran, Russia wakawashitua rafiki wao Iran, ndo yakatokea hayo. hii dunia ni uwanja wa fujo rip Prof kezirahabi nguri wa fasihi.
Walibomoa ukuta tu pale teh! teh! Ni hasara iliyoje, kutumia makombora ya mabilioni kubomoa ukuta wa laki mbili!! Huku kombola lingine likienda kuua wairan 145 Kwa kweli Iran kaanza mwaka vibaya.
1. General na wenzake chali.
2. Raia 56 chali kwa kukanyagana msibani.
3. Wairan 145 chali kwenye ndege.
4. Makombora ya gharama kuambulia kubomoa ukuta wa laki mbili.
5. Kombora lililogharamikiwa kwa kodi ya wairan kutumika kuua walipa kodi wenyewe.
Ukiangalia hii hasara yote ya Iran imesababishwa na drone ya US iliyokuwa operated na mwanamke. Mwanamke wa kimarekani kaleta kilio kikuu kwa taifa la Iran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah inasikitisha mnoo aseeIla kama walikua majasusi kweli wamepewa walichokistahili.....
Sent using Jamii Forums mobile app
America ameuwa watu wangapi? Au nyinyi ndio wale nyani kwa hamuoni makalio yenu mnaona ya wenzenu? Tumieni akili basi za kuzaliwa mnapocommentAcha ushirikina mkuu.Majasusi hawana akili kama yako waondoke kwa ndege moja.
Iran wanastahili kuadhibiwa kwa kuua watu wengi jinsi hii pasipo kuwa na hatia.
Pamoja na upuuzi wao ila hawawezi kuwa na akili kama yako.Mtu atoke kwake, apite air port,apande ndege,akishapanda ndo useme walikuwa majasusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabadiliko ya madai.Yap ilitokea Tehran kwenda Ukrain na ndege ilipewa direction ya kupita ila inasemekana rubani alibadiri uelekeo na alikuwa anarudi alikotoka mfano ndege inatoka Dsm inaeleke mbeya ghafla inageuzia morogoro kurudi Dsm ,na haikutunguliwa na makombora yaliyoelekwezwa Iraq ni makombora ya ulinzi wa anga.
Angalau basi muwe mnafuatilia taarifa ya habari. Kama hilo ni gumu angalau tumia sehemu yako ya akili japo kidogo.Hapa somo ni Iran kujipiga wenyewe na wa Iran kuweka box la data kwapani na kukanusha vikali na kutukana USA.
Na leo wamekubali wao ndio wamesababisha ajali na kuua.
Kumbuka ni walitakiwa wasitishe ndege za abiria za kawaida zisiruke lakini wao wakarusha makombora nchi nyingine huku wakijua ndege za abiria zinaruka kama kawaida wala hawakuzisitisha.
Sasa anzia hapo ujinga wa USA mada tofauti kabisa mkuu, punguza. hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayanaga akili siku zote.
Hata ingekuwa ya USA ndege si ya kijeshi unatungua ya nini?
Naapa kila kitu alichisema mtoa mada ni ukweli mtupu. ...hii pia ilitokea hapa tanzania mkoa wa kagera,majangili waliiba document nyeti za Tanzania na wakawa wanatorokea border ya Uganda iliyopo mkoani humo...Magufuli aliposikia hivo akaagiza tetemeko huko kagera lililowaua pia hao majasusi....ndomana serikal haikutangaza vifo vya wahanga wa tetemeko wala haikutaka kutoa msaada kikamilifu kwa raia wa kagera
Kwani nmesema kiapo ni kibaya???Sasa ni nani zuzu???--- si wewe unayeiga kuapa kwa jua !![emoji1787], kama kiapo hicho ni kibaya mbona umeiga??.--- hivi wewe kweli unajitambua??.
Maana yake isiwe ninaongea na mtu asiyejitambua!!!
Nasema kama walikua majasusi wamepata walichokistahili sanaaLicha ya kuwa na majasusi iliruka wakati ambao makombora ya Iran yaki tokea aridhini!!
Ndege nyingi hutumika kupiga picha!!
Makombora ya Iran ni Siri kubwa sana mengi hurushwa kutoka aridhini na haijulikani yapo kwenye mapango ya milima gani!
Nadhani walipo gunduwa kuwa kuna ndege imeruka wakati makombora yakitoka aridhini wakaona hakuna jinsi zaidi ya kuishusha!!!
Note Irani wamesha sema kwenye black box sehemu ya kumbu kumbu imeunguwa! Maana kukitoa kikiwa na kumbu kumbu kutunguwa ndege inakuwa haina maana!
Kumbuka adi leo makombora yaliyo piga vituo vya mafuta vya Saudi Arabia hayajulikani yalitokea sehemugani!
Pia yaliyoiga base ya marekani huko Iraq adi Iran walipo sema tumepiga sisi haikujulikana yametikea pande gani licha ya kutoa tarifa kuwa itazipiga base za marekani!
Irani sio ya kuchukulia poa!
Usisahau na hii vijana wairan wameshusha ndege ya abiria na kuua wakiwemo wairan 145.Usisahau hii ilishushwa na vijana wa iran waliokua wanafanya internship pale Tehran.View attachment 1319718
dodge
Former member of the United States Senate Daniel Patrick Moynihan alisemaWalitakiwa wasitishe ndege za Abiria zisitembee kwenye anga lao kama walikuwa wanajua watafyatua makombora 12 kwenda Iraq na kwamba ni uwanja wa mapambano.
usa alipotungua ndege ya iran alikubali wa Iran walikatalia data hawampi Boeing mwenyewe wakaenda kujichimbia wanazichungulia wenyewe, pamoja na lugha za kejeli. Leo wao wana kubali yale yale.
Na wewe acha muhemko ukweli ndio huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
...kinaachoonekana ni object tu...Angalau basi muwe mnafuatilia taarifa ya habari. Kama hilo ni gumu angalau tumia sehemu yako ya akili japo kidogo.
Anga ya Iran ilikuwa kwenye war zone! Na radar huwa haionyeshi ndege ya raia au ya kijeshi. Kinachoonekana ni object tu. Kwenye tension waliyokuwa nayo Iran ya kurusha makombora kwenye kambi ya Amerika nchini Iraq unafikiri kitakachokatiza kwenye anga yao watakiuliza?
Jaribu kufikiri tu! Hata Tanzania ingelikuwa kwenye hiyo hali halafu iwe ndege inapita kwenye anga yake itaiuliza?
Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
Haya mambo huwa yanatokea sana! Tatizo watu hawajui kwa sababu hawataki kufuatilia mambo.Me nakuletea theories tu mkuu.
Theory ya pili inasema inawezekana ndege ilibeba sensitive information kwa usiri/usalama wa yanayoendelea Iran/Iraq. Hasahasa kwenye ile timing ya missile walizorusha.. Iran had no choice but to bring it down.
...kinaachoonekana ni object tu...
Hammaz, kwani wewe una knowledge yoyote kuhusu masuala ya rada au utaalamu wako uko nyuma ya keyboard?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nmesema kiapo ni kibaya???
Kama kibaya kwanini niliapa mwanzoni??we vipi??wakati nilipoapa we ndo ukanijia juu na kuanza kunitukana eti nitachomwa na jua ninaloliapia...namimi nikakuambia nimemuiga Allah basi mwambie Allah nayeye atachomwa na ilo jua analoliapia au unamuogopa?