Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Iran hashindwi kulipa fidia, sema hawezi kurudisha uhai uliopotea. Inahuzunisha sana.
Sema vita ni akili,fitna na propaganda.Ukute kwa makusudi ilibidi ndege itunguliwe kwa sababu za kiusalama.USA mshz sana, mnaweza kudhani ndege ya abiria kumbe kitu. Ikumbukwe tukio hili lilitanguliwa na tetemeko la ardhi jirani na kinu cha nyuklia.
Si ajabu wafursi walichanganyikiwa na maamuzi yakawa litakalokuwa na liwe.
Kwa maana hiyo ni kama walishapoteza confidence na walikuwa disorganized kiasi kwamba kila mtu alikuwa anafanya maamuzi yake! Sasa ktk scenario kama hii,wao ndio waliamua “kulipa kisasi” nilitegemea maamuzi hayo yangeandamana na utayari wa kila nyanja ktk maamuzi,vipi kama kweli US angeamua kujibu tena,si ingekuwa disaster?