Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Polepole tutafika
1.hatukutungua
2.tumetungua kimakosa
3.tumetungua makusudi lakini tuna sababu nzuri
4.tumetungua na sababu sio nzuri
 
Bahati mbaya haina mwenyewe!

Bora Iran imekuwa bahati mbaya na kwa watu wasio na hatia.

Huyo USA kwa makusudikali aliamua kuangamiza msafara wote bila kujali number ya watu ila awe mmoja au dunia wote ni watu toka mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitu kinafanana na kile kilichopelekea MV bukoba ikazamishwa.... Mle ndani alikuepo zaidi ya mtu katika ulimwengu wa ujasusi na ugaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo. Acha kuhusianisha mambo ya Iran na MV Bukoba. Tulipoteza wapendwa wetu humo na wengine waliookoka tupo nao. Tunajua zaidi ujuavyo!
 
Kama waneitungua makusudi basi si bure maana nasikia ilipita karibu kabisa na eneo nyeti la kijeshi.
Maana nilisha soma makara moja hivi ata usoviet ilisha idungua ndege ya abilia katika mazingira kama haya wenda kuna kitu sio bure.
Wa Russia walitungua ndege ya Korea ( achana na ya juzi ukrain) makusudi sio bahati mbaya hiyo siri alitoa pilot wa kirusi aliyetoroka na ndege ya mig na kutua kisiwa cha japan.

Alisema radar moja ilikuwa mbovu na uzembe wa kuitengeneza ulifanyika hivyo kuja kustuka ndege ya korea iliingia sana tu na ikawa inakaribia kutoka ktk anga la urusi, kuogopa lawama maana walijua ingegundulika makamanda wa kirusi wakaamua itunguliwe.

Hivyo ilitunguliwa makusudi kwa kujua kabisa ni ndege ya abiria. Hizi habari zipo wazi tu youtube sio za kutafuta.

Waongoza ndege wote hata hapa kwetu wanaipokea ndege toka nchi nyingine na kuiruhusu kuondoka pia kwa njia ya kupita waliotoa taarifa watapita.

Yaani kifupi iliipoonekana tu kwenye radar mwongoza ndege wa kijeshi alitakiwa amuulize mwongoza ndege za raia kama anataarifa na hiyo ndege kama akijibu haijui ndio inatunguliwa.

Wameitungua ndege iko mjini mwao humo na watunguaji wamo humo humo. Ndege wameiruhusu kuingia wenyewe. Sawa na sisi iruke ukonga airport halafu Airwing pale badala ya kuwauliza waongoza ndege wenzao wa abiria wawashe tu mtambo na kutungua.

Au wangefunga anga ndege za abiria zisipite. Kamanda wa jeshi la Anga amesema waliomba kibali anga lifungwe wakubwa zake wakaamua anga lisifungwe.

Ndio maana maswali wanajichanganya wa Iran kujibu wanaishia tu kumlaumu Trump na bahati mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hashindwi kulipa fidia, sema hawezi kurudisha uhai uliopotea. Inahuzunisha sana.

Sema vita ni akili,fitna na propaganda.Ukute kwa makusudi ilibidi ndege itunguliwe kwa sababu za kiusalama.USA mshz sana, mnaweza kudhani ndege ya abiria kumbe kitu. Ikumbukwe tukio hili lilitanguliwa na tetemeko la ardhi jirani na kinu cha nyuklia.

Si ajabu wafursi walichanganyikiwa na maamuzi yakawa litakalokuwa na liwe.
 
Naapa kila kitu alichisema mtoa mada ni ukweli mtupu. ...hii pia ilitokea hapa tanzania mkoa wa kagera,majangili waliiba document nyeti za Tanzania na wakawa wanatorokea border ya Uganda iliyopo mkoani humo...Magufuli aliposikia hivo akaagiza tetemeko huko kagera lililowaua pia hao majasusi....ndomana serikal haikutangaza vifo vya wahanga wa tetemeko wala haikutaka kutoa msaada kikamilifu kwa raia wa kagera
 
Dah asee... Hilo tetemeko lilitumwa kwa Bluetooth au? Bado sana kufikia level hizo. Japo kweli hiyo teknolojia ipo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale makombora yalikuwa active mda wote wakihofia Marekani anaweza kuishambulia Iran ile ndege ilivyo pita ikadhani ni kombora ikalitungua...

Ingekuwa ni majasusi wasingeweza kutoroka na document wakati mambo yalisha korogeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My theory na theory ya mtoa mada... ipi ni more likely??
Hii ya mtoa mada inafikirisha zaidi...kuanzia chombo cha Malaysia na hata jirani hapo chombo kilichokuwa kimebeba wale marais wa nchi jirani kikashushwa.

Tetemeko ni kama vile vinu vya nuclear kuwekewa figisu na mafuriko kutoka baharini. Vimbunga, tufani za kutengeneza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha dogo mitambo ile inachukua miaka kuijua ndio maana Syria mpaka leo wako sbule kutumia S300 ya Urusi unadhani hawataki kumtungua Israel. Iran nao wanazo wako shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kulinganisha BUK Sa-11 na S 300? BUK Russia waliacha kutumia miaka kibao iliyopita na S 300 inatumika mpaka leo. Sasa kama unadhani waasi wote ni ndezi kwani hukumbuki waliodungua ndege ya rais wa Rwanda & Burundi mwaka 1994 walikuwa waasi, hujui Mserbia alidondosha F 117 Nighthawk ya U.S tena ilikuwa stealth kwa kutumia SA-3 ya Urusi. Na hapa Afrika kama hujui waasi wa FRELIMO walidondosha jumla ya ndege ngapi kasome. Narudia kusema sio kila waasi ni ndezi, na inaonekana bado hujui waasi ni kina nani. Tofautisha insurgents na rebels, wewe utakuwa unakomaza shingo kumbe unawasema insurgents.
 
Wa Russia walitungua ndege ya Korea ( achana na ya juzi ukrain) makusudi sio bahati mbaya hiyo siri alitoa pilot wa kirusi aliyetoroka na ndege ya mig na kutua kisiwa cha japan.

Alisema radar moja ilikuwa mbovu na uzembe wa kuitengeneza ulifanyika hivyo kuja kustuka ndege ya korea iliingia sana tu na ikawa inakaribia kutoka ktk anga la urusi, kuogopa lawama maana walijua ingegundulika makamanda wa kirusi wakaamua itunguliwe.

Hivyo ilitunguliwa makusudi kwa kujua kabisa ni ndege ya abiria. Hizi habari zipo wazi tu youtube sio za kutafuta.

Waongoza ndege wote hata hapa kwetu wanaipokea ndege toka nchi nyingine na kuiruhusu kuondoka pia kwa njia ya kupita waliotoa taarifa watapita.

Yaani kifupi iliipoonekana tu kwenye radar mwongoza ndege wa kijeshi alitakiwa amuulize mwongoza ndege za raia kama anataarifa na hiyo ndege kama akijibu haijui ndio inatunguliwa.

Wameitungua ndege iko mjini mwao humo na watunguaji wamo humo humo. Ndege wameiruhusu kuingia wenyewe. Sawa na sisi iruke ukonga airport halafu Airwing pale badala ya kuwauliza waongoza ndege wenzao wa abiria wawashe tu mtambo na kutungua.

Au wangefunga anga ndege za abiria zisipite. Kamanda wa jeshi la Anga amesema waliomba kibali anga lifungwe wakubwa zake wakaamua anga lisifungwe.

Ndio maana maswali wanajichanganya wa Iran kujibu wanaishia tu kumlaumu Trump na bahati mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump kafanya shambulio moja Tu makni tena la kutumia drone bila kurisk uhai wa airmen yyte na target haikukosea , Hawa wakakrupuka mara wamerusha makombora mara wametungua ndege ya abiria .....mzungu ni mzungu jaman mwenye nguvu mpishe
 
Iran hashindwi kulipa fidia, sema hawezi kurudisha uhai uliopotea. Inahuzunisha sana.

Sema vita ni akili,fitna na propaganda.Ukute kwa makusudi ilibidi ndege itunguliwe kwa sababu za kiusalama.USA mshz sana, mnaweza kudhani ndege ya abiria kumbe kitu. Ikumbukwe tukio hili lilitanguliwa na tetemeko la ardhi jirani na kinu cha nyuklia.

Si ajabu wafursi walichanganyikiwa na maamuzi yakawa litakalokuwa na liwe.
Kwamba walichanganyikiwa
 
Back
Top Bottom