Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Eti unajiita super power halaf kambi zako zinapigwa kweli
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Huu ujinga mfanyie PUTIN Uone Kama Utatoka Salama.....
Rocket Attack Hits Russian Base in Syria, Injuring Civilians

Mysterious drone swarm attacks military base in Syria, exposing Russian vulnerability

Russia says mysterious armed drones are attacking its military bases in Syria - and they don't know who's sending them
 
Jamani hao majasusi si bora wangewakamatia airport wakati wanajiandaa kupanda ndege....Irani wametungua ndege ya uturuki kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya kivita ya Marekani imetumwa kujibu mapigo baada ya Irani kutupa makombora kwenye kambi za kijeshi za marekani Iraq...Na wao wamekiri ingawa mwanzoni walikataa..Source Taarifa ya Habari leo mchana.
 
BREAKING: British Prime Minister Boris Johnson says Iran's admission Ukraine International Airlines Flight 752 was shot down by mistake by its own armed forces is an "important first step" and has called for an independent international investigation and the repatriation of those who died. [Sky News]

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema kukiri kwa Iran kuwa ndege ya kimataifa ya Ukraine 752 ilitunguliwa kimakosa na vikosi vyake vya jeshi ni "hatua ya kwanza muhimu" na ametoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa na kurudishwa makwao miili ya wale waliokufa katika ajali hiyo.
 
Hamna kipya kwenye hicho alichokisema.

dodge
 
Jamani hao majasusi si bora wangewakamatia airport wakati wanajiandaa kupanda ndege....Irani wametungua ndege ya uturuki kwa bahati mbaya wakidhani ni ndege ya kivita ya Marekani imetumwa kujibu mapigo baada ya Irani kutupa makombora kwenye kambi za kijeshi za marekani Iraq...Na wao wamekiri ingawa mwanzoni walikataa..Source Taarifa ya Habari leo mchana.

Uwakamate wa nini wakati unataka kutuma meseji Israel na USA kuwa mmemuua Jenerali wa Jeshi sisi tunakill maspy wenu

Wangewakamata wakati wana passport za Canada na Ujerumani propaganda za west zingeanza kuwa Irani iwaachie, kuwa hawana makosa, na blah blah kibao za kelele za human rights
 
Jipya lipo sana tu.

Air Traffic Controllers wa kijeshi na abiria wanamwasiliano muda wote na kufanya kazi pamoja. Iilitakiwa mwongoza ndege za kijeshi amuulize mwongoza ndege za abiria hapo hapo kama anaitambua hiyo ndege au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yamesemwa na Boris?

dodge
 
Back
Top Bottom