Wewe nimegundua ni mtu usiyetafakari mambo, huwa unakurupuka tu.
Wewe umetoa kiapo (cha jua) kwa mambo ya Uongo, Binadamu huwa anaapa kwa Mungu na hata maraisi hushika vitabu vya Mungu wanapoapa kwa maana ya kuapa mbele ya Mungu, sasa Mungu anapoapa unataka aape mbele yake mwenyewe?? that's nonsense and inconceivable. Mungu anaapa kwa jua kwasababu jua ni Universal object, hakuna binadamu aliyekuwa kamili ambaye hajaliona jua katika uhai wake hivyo jua linathibitisha uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwa kuliona jua tu mtu unaweza kutambua uwepo wa Mungu nk, Mungu hawezi kuapa kwa kitu ambacho hakina athari kwa wanadamu kwa ujumla hiyo kwa kifupi ndiyo falsafa behind God oaths.
Sasa wewe unajifanya Mungu kwa kula kiapo cha jua kwa habari yako ya uzushi, uongo na uzandiki, Nakutahadharisha kama Binadamu mwenzangu kwamba; you are exceeding the limits, God will catch you unexpectedly, I argue you to stop immediately. Qur'an is His words no one dared to play with it remained safe. After this warning I surely believe that you will grasp the point.