Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

mlipoambiwa mutoe mateka mlisema mnataka vita , leo mnamsingizia kuwa yeye ndo kayaleta haya , mlipoua watu 1400 ila hakujali akasema leteni mateka yaishe ila mligoma , tulien dawa iwaingie
ile octoba 7 warabu wa buza walikua wanasujudu hadi barabarani. Sasa hivi wanalia watoto wanauawa
 
Huwa mnaanza hivi hivi kikiumana mnaanza kulia🤣🤣
 
Haniyah aliuawa na toyi eeeh......wakubali tu wao ni dhaifu kuanzia intelligensia yao na mfumo wa ulinzi
 
Haya wamepigwa tena. Leteni vitu konk sasa mlivyo sema mnavyo. Mbona kama wameufyata sasa
 
Apumzike panapomstahili bwana msemaji wa Serikali ya Ugaidi

Maana Matoy yalimfuata kwenye Helikopta akamponza Rais Raisi
 
Back
Top Bottom