Wairan wa buza naona mmekuja JF kufarijiana baada ya jaribio lenu la kuishambulia Israel kushindwa kwa 99%.
Mzayuni hanaga dogo, anatwanga popote na yoyote. Haogopi mtu.
mlipoambiwa mutoe mateka mlisema mnataka vita , leo mnamsingizia kuwa yeye ndo kayaleta haya , mlipoua watu 1400 ila hakujali akasema leteni mateka yaishe ila mligoma , tulien dawa iwaingie