Iran yamnyonga aliyekutwa na hatia ya kuwa jasusi wa Israel

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.

Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.

Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya chombo cha habari cha mahakama kinachofahamika kama "Mizan" na kuongeza kuwa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Rouzbeh Vadi, alikuwa mfanyakazi katika moja ya "mashirika muhimu na nyeti" ya Iran, na kwamba alihatarisha usalama wa taifa hilo.

Kunyongwa kwa raia wa Iran baada ya kukutwa na hatia ya kuwa majasusi wa Israel, kumeongezeka maradufu mwaka huu, ambapo watu wanane walihukumiwa kifo katika miezi ya hivi karibuni.
 
SSa

Safi xnaa makando kando yote yasafishwe
 
Safi sana 🇮🇷
 
Wamepigwa kwa fujo zao wanakamata raia a kuwasingizia, mhusika mkuu ni Ayatollah ukorofi wake na jeuri ndio matokeo ya kichapo walichokula wawaache raia waishi hawana ugomvi na nchi yeyote
Natftal benet aliyekuwa waziri mkuu wa israel amesema kitengo cha propaganda cha israel kimeshakufa rasmi kule usa mmbaki ninyi rangi nyeusi mliojaa makamasi kwenye ubongo
 
Kwa kawaida dunia nzima msaliti wa taifa adhabu yake hua ni kifo!
 
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.

Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.

Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya chombo cha habari cha mahakama kinachofahamika kama "Mizan" na kuongeza kuwa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Rouzbeh Vadi, alikuwa mfanyakazi katika moja ya "mashirika muhimu na nyeti" ya Iran, na kwamba alihatarisha usalama wa taifa hilo.

Kunyongwa kwa raia wa Iran baada ya kukutwa na hatia ya kuwa majasusi wa Israel, kumeongezeka maradufu mwaka huu, ambapo watu wanane walihukumiwa kifo katika miezi ya hivi karibuni.
Hivi hawa wanao saliti Taifa lao wanategemea nini?? Kitanzi tu, of course.
 
Upuuzi tu, alianzia Yuda then wakazaliwa wasaliti wengi sana.
 
Back
Top Bottom