The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Safi xnaa makando kando yote yasafishweIran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya chombo cha habari cha mahakama kinachofahamika kama "Mizan" na kuongeza kuwa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Rouzbeh Vadi, alikuwa mfanyakazi katika moja ya "mashirika muhimu na nyeti" ya Iran, na kwamba alihatarisha usalama wa taifa hilo.
Kunyongwa kwa raia wa Iran baada ya kukutwa na hatia ya kuwa majasusi wa Israel, kumeongezeka maradufu mwaka huu, ambapo watu wanane walihukumiwa kifo katika miezi ya hivi karibuni.
Hawawezi kuisha mpaka sasa wapo 100 na wanalipwa pesa nzuriSSa
Safi xnaa makando kando yote yasafishwe
Safi sana 🇮🇷Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya chombo cha habari cha mahakama kinachofahamika kama "Mizan" na kuongeza kuwa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Rouzbeh Vadi, alikuwa mfanyakazi katika moja ya "mashirika muhimu na nyeti" ya Iran, na kwamba alihatarisha usalama wa taifa hilo.
Kunyongwa kwa raia wa Iran baada ya kukutwa na hatia ya kuwa majasusi wa Israel, kumeongezeka maradufu mwaka huu, ambapo watu wanane walihukumiwa kifo katika miezi ya hivi karibuni.
Natftal benet aliyekuwa waziri mkuu wa israel amesema kitengo cha propaganda cha israel kimeshakufa rasmi kule usa mmbaki ninyi rangi nyeusi mliojaa makamasi kwenye ubongoWamepigwa kwa fujo zao wanakamata raia a kuwasingizia, mhusika mkuu ni Ayatollah ukorofi wake na jeuri ndio matokeo ya kichapo walichokula wawaache raia waishi hawana ugomvi na nchi yeyote
Ndio ila heri kupunguzwa kulikoa kuachiwaHawawezi kuisha mpaka sasa wapo 100 na wanalipwa pesa nzuri
Hivi hawa wanao saliti Taifa lao wanategemea nini?? Kitanzi tu, of course.Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya chombo cha habari cha mahakama kinachofahamika kama "Mizan" na kuongeza kuwa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Rouzbeh Vadi, alikuwa mfanyakazi katika moja ya "mashirika muhimu na nyeti" ya Iran, na kwamba alihatarisha usalama wa taifa hilo.
Kunyongwa kwa raia wa Iran baada ya kukutwa na hatia ya kuwa majasusi wa Israel, kumeongezeka maradufu mwaka huu, ambapo watu wanane walihukumiwa kifo katika miezi ya hivi karibuni.
Tulijua lazima utaleta pua yako usifie kobazi wenzakoSafi sana 🇮🇷