Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.

Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel.
 
Mauongo uongo yashaanza *****
 
Safi sana kobazi, uwa hayo Mashetani marafiki wa USA
 
Yeye nani asife nyinyi wapumbavu?Mavi yake nyuma huko aliko
 
Hahahaha nimecheka sana
 

Attachments

  • FB_IMG_17506787791488086.jpg
    219.2 KB · Views: 49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…