Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Hii habari ni 5 days ago
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Nadhani ni propaganda tu mbona hakuna uthibitisho hadi leoHii habari ni 5 days ago
Hakuna kitu kama hicho. Wanatupa tu missile zao mashambani na mabarabarani hawana lolote zaidi ya kamdomo na wanapigwa wamechoka wamechakaa😂🤣Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Sawa za kwenu ni za kweli tunazoleta sisi ni za uongo ila muda utasema . Kama una taarifa ya alipo Leo au Jana tuwekee hapa tuone mkuuHao hata kuua bodaboda wa mpishi wa Chief of Intelligence hawawezi.
Wanaunda viakaunti uchwara YouTube wanachora makatuni na kutumia AI kutangaza kila uongo. Na kutengeneza blogs na websites za kupiga porojo.
Hakuna kitu kama hicho. Wanatupa tu missile zao mashambani na mabarabarani hawana lolote zaidi ya kamdomo na wanapigwa wamechoka wamechakaa😂🤣
View: https://x.com/manniefabian/status/1937129681217618396?t=WVgG5I7xH7GqHLxX7st64Q&s=19
Israel hatangaxiNadhani ni propaganda tu mbona hakuna uthibitisho hadi leo
Wewe tuletee taarifa ya alipo leoNadhani ni propaganda tu mbona hakuna uthibitisho hadi leo
Haya mambo hayaitaji hasira tulia kwanzaUtahira ni tatizo kubwa Tanzania
we nae unaamini matango poriBahati nzuri Iran wamesema watu wahame hapo Israel kujificha kwenye mahandaki siyo salama kwao, ona sasa wanaliwa vichwa alafu wanafanya siri , msiba hauna siri tutaona tu turubai
Rule ni. 1 ya Israel Huwa anaweka censorship kwenye taarifa zote zinazoonesha kuwa amezidiwa kwahiyo ni vigumu kuzipata. Ameshaiaminisha Dunia kuwa yeye ndio kidume hapo middle east aibu ataipeleka wapi? Ila kwa sasa tunajionea " live" bila chenga shukrani kwa mitandao ya kijamiihapo wamekufa wakuu wengi sema wanaficha haya mambo yakiisha na kuanza kuulizana nani na nani wako wapi ndo tutajua
Rafiki yangu kipenzi AI, kama kawaida yangu, nimemuuliza kama ameuawa. Jibu ni hili:-Wewe tuletee taarifa ya alipo leo
Akiwa wapi kwa ushahidRafiki yangu kipenzi nimemuuliza kama ameuawa. Jibu ni hili:-
Reports from Iranian media outlets have claimed that Mossad chief David Barnea was killed in a missile strike. However, these claims are not corroborated by reliable sources and appear to be part of an information warfare campaign.
In fact, recent articles from reputable news organizations, published just days ago, continue to refer to David Barnea as the current Director of Mossad and discuss his ongoing activities, including his role in hostage negotiations and Mossad operations. His term is even mentioned as potentially expiring in June 2026.
Therefore, based on available information, David Barnea has not been killed and continues to serve as the head of Mossad.
Kwa Kiswahili:
Nyaraka kutoka vyombo vya habari vya Irani zimedai kuwa mkuu wa Mossad, David Barnea, aliuawa katika shambulio la kombora. Hata hivyo, madai haya hayajathibitishwa na vyanzo vya kuaminika na yanaonekana kuwa sehemu ya kampeni ya vita vya habari.
Kwa kweli, makala za hivi karibuni kutoka mashirika ya habari yanayoheshimika, zilizochapishwa siku chache zilizopita, zinaendelea kumrejelea David Barnea kama Mkurugenzi wa sasa wa Mossad na kujadili shughuli zake zinazoendelea, ikiwemo jukumu lake katika mazungumzo ya mateka na operesheni za Mossad. Muda wake wa ofisi hata umetajwa kuwa unaweza kumalizika Juni 2026.
Kwa hivyo, kulingana na habari zilizopo, David Barnea hajauawa na anaendelea kutumikia kama mkuu wa Mossad.
Nahisi wewe ni wazee wa zamani ambao mnaamini kwenye propaganda za kizamani wakati teknologia inawatupa mkonoHaya mambo hayaitaji hasira tulia kwanza
Kama hajafa si ataonekana?Mauongo uongo yashaanza *****
Ulikata muda mfupi sana washarudisha.Vip baada ya kipigo huko israel umeme usharudi