Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

Hamna unyonge hapa 🤣🤣wala mpige nyuklia kumaliza wote ila mmepata tabu sana .
1000102686.png
 
Huyo jamaa angeuawa taarifa angetoa Ayatollah mwenyewe huko huko shimoni aliko kuutangazia ulimwengu kama moja ya ushindi mkubwa wa Iran ila sio taarifa mnatoa nyie waarabu wa Buza mnapost huku mnakula tembele lenye ndimu nyingi na sembe.
😂😂Daa! Eti tembele lenye ndimu nyingi na sembe. Ndio nimetoka kulila hilo tembele sasa hivi, ila langu halikuwa na ndimu!
 
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.

Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104

Iran gani? 😂😂😂😂
 
Sawa za kwenu ni za kweli tunazoleta sisi ni za uongo ila muda utasema . Kama una taarifa ya alipo Leo au Jana tuwekee hapa tuone mkuu
Picha hii ya leo asubuhi wakinywa kahawa na Netanyahu
 

Attachments

  • FB_IMG_17506787791488086.jpg
    FB_IMG_17506787791488086.jpg
    219.2 KB · Views: 23
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.

Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Duh!...
 
Back
Top Bottom