Mwenye hii Post uko kwao ni kama MWIJAKU TU.Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Hao hata kuua bodaboda wa mpishi wa Chief of Intelligence hawawezi.Mpaka leo mmeshindwa kuleta hapa picha na video za marubani warembo wa f-35 mlizodai mmezitungua
Hii picha ya mda mkuu au?Hahahaha nimecheka sana
Utahira ni tatizo kubwa TanzaniaHili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
kufikia julai huo utawala uwe umeangushwa, zije zama mpya za iran mpyaMnalazimisha habari za uongo. ISRAEL ANAJIPIGIA ANAPOPATAKA. LEO KAPIGA GETI LA WAFUNGWA WA KISIASA. WAFUNGWA WOTE WAPO HURU. LENGO LA NYUKLIA LIMEKAMILIKA SASA NI KUIPINDUA SERIKALI. UTAWALA WA KIISLAMU LAZIA UANGUKE
hapo wamekufa wakuu wengi sema wanaficha haya mambo yakiisha na kuanza kuulizana nani na nani wako wapi ndo tutajuaHili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Wamekufa wengi tu ila kama ilivyo kawaida yetu wayahudi hua hatutangazi taarifa nyeti za aina hii ili kuficha aibu si unajua tushaiaminisha Dunia kuwa sisi ni wateule.Huyo jamaa angeuawa taarifa angetoa Ayatollah mwenyewe huko huko shimoni aliko kuutangazia ulimwengu kama moja ya ushindi mkubwa wa Iran ila sio taarifa mnatoa nyie waarabu wa Buza mnapost huku mnakula tembele lenye ndimu nyingi na sembe.
Ni kweli kama huamini mtafute kama utampata?Ni kweli??
Wanaamini watu wa taifa teule hawafi 🤣Yahudi wa kwa mtogole wanavyo kana sasa
Na watanyookaWanaamini watu wa taifa teule hawafi 🤣
Anauwawaje hebu tuambieMkuu wa mossad hawezi kuawawa kindezi hivyo, muachage propaganda
Mwambieni ajitokeze hadharani kama yu hai.Mauongo uongo yashaanza *****
We ata tukikuwah huponiii 😂😂Mnalazimisha habari za uongo. ISRAEL ANAJIPIGIA ANAPOPATAKA. LEO KAPIGA GETI LA WAFUNGWA WA KISIASA. WAFUNGWA WOTE WAPO HURU. LENGO LA NYUKLIA LIMEKAMILIKA SASA NI KUIPINDUA SERIKALI. UTAWALA WA KIISLAMU LAZIA UANGUKE
Wewe kama siyo mnafiki mbona husemi target zilizopigwa Leo na Iran huko Israel? Mbona husemi Israel kaomba Iran mapigano yasimamishwe? Mtasema tu Iran siyo HamasMnalazimisha habari za uongo. ISRAEL ANAJIPIGIA ANAPOPATAKA. LEO KAPIGA GETI LA WAFUNGWA WA KISIASA. WAFUNGWA WOTE WAPO HURU. LENGO LA NYUKLIA LIMEKAMILIKA SASA NI KUIPINDUA SERIKALI. UTAWALA WA KIISLAMU LAZIA UANGUKE
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israel vimezuia kabisa kuenea kwa taarifa hii kwa vyombo vya habari ndani ya Israel na nje ya Israel. View attachment 3380104
Russia anapambana kutumia koleo, Russia anabagazwa na mama ntilie. Mara nyingi huwa una side upande unaoshindwa, sijui this time itakuaje?.Hao hata kuua bodaboda wa mpishi wa Chief of Intelligence hawawezi.
Wanaunda viakaunti uchwara YouTube wanachora makatuni na kutumia AI kutangaza kila uongo. Na kutengeneza blogs na websites za kupiga porojo.