Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

makobazi ni mawongo na mazushi
 
Ameuwawa TikTok
 
Iran Huwa anapiga halafu anawaachia walimwengu mtangaze matokeo siyo kama jamaa zetu wameajiri wahindi huko X kuwatetea na kueneza taarifa za uwongo kuichafua Iran.
Angalia habari yako vizuri. Imekuja Kama swali uoni kuna alama ya kuuliza?. HQ Ina ?.
 
Iran ni kama mtu anyemfuatiliya X wake ajue anaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…