Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
16,166
Reaction score
25,197
Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.

Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.

USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.

Chanzo: CGTN World Today
 
Halafu unataka kuifananisha na kile kitaifa kimachodekezwa na wazazi
 
Silaha za Iran ni more sophisticated .
Jana US navy imeripoti ime intercept 3 ballistic missiles kutoka houthi kikundi cha Yemeni ambazo ni Iranian made zikiwa zimepigwa kuelekea Israel.
Inamaana Wana makombora ya kufika mbali na yenye nguvu kwasababu hata US navy pale Mediterranean walikiri kuwa yasingeweza kuwa intercepted na iron dome,maana iron dome no rocket intercepter sio missiles intercepter.
 
Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.

Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.

USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.

Chanzo: CGTN World Today
Haha haha bangi nzuri sana
 
Safi sana mizigo ipatikane kama naona oda za Hamas kila aina ya silaha.
 
Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.

Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.

USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.

Chanzo: CGTN World Today
USA ni muhuni sana kaona amuruhusu ( nyuma ya pazia anajifanya hajapenda hayo maamuzi )

malengo ni anajuwa Iran ataanza jihusisha na migogoro ya mashariki ya kati kiwaziwazi na hiyo itamfanya Saudia aanze kumuona Iran kama tishio hasa kwenye kuenezea itikadi za ushia dhidi ya usuni , mwishowe yale mapatano yao ya juz yataingia dosari tu , WEST WAJANJA SANA NA NI LAZIMA IRANI AJAYE MAANA ASIOOFANYA HIVYO PIA ITAKUWA LAWAMA KWAKE NA KUMUONA KAMA KIBARAKA WA SERA ZA MAGHARIBI KAMA ILIVYOKUWA MIAKA 1970 TO 80S
 
Mi Iran nashindwa tu hata kuielewa ni nchi ya namna gani; tangu nazaliwa ipo kwenye vikwazo na uangalizi mkali muda wote lakini naweza kusema ndiyo inayoonekana tishio kiteknolojia, kisilaha na maendeleo kwa ujumla.
Na vikwazo vitu hivyo ni Israeli analindwa kwa gharama yoyote lisotkee taifa lolote lenye tech za hali ya juu kuitawala mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom