Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mbona mnakuwa na wasiwasi kuna ubaya gani akiuza machine mnataka Marekani na Israel tu wamiliki silaha😂Huenda Marekani hakuudhuria hicho kikao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnakuwa na wasiwasi kuna ubaya gani akiuza machine mnataka Marekani na Israel tu wamiliki silaha😂Huenda Marekani hakuudhuria hicho kikao.
Mkuu, drones unazipeleka wapi?Daah afadhani maana zile drones nilikua nazitaman..........
Alikuwa anakuuzia wewe?Mbona alikuwa akiuza tu? Au alikuwa akiuza kiwiziwizi??
Hahaa unatamani sana iwe hivyo unavyowaza but it's too late Iran na Saudi Arabia wameshaweka sawa tofauti zao sana sana nimesikia Saudi Arabia amevunja mazunguzo ya kurudisha mahusiano mazuri na israeli.USA ni muhuni sana kaona amuruhusu ( nyuma ya pazia anajifanya hajapenda hayo maamuzi )
malengo ni anajuwa Iran ataanza jihusisha na migogoro ya mashariki ya kati kiwaziwazi na hiyo itamfanya Saudia aanze kumuona Iran kama tishio hasa kwenye kuenezea itikadi za ushia dhidi ya usuni , mwishowe yale mapatano yao ya juz yataingia dosari tu , WEST WAJANJA SANA NA NI LAZIMA IRANI AJAYE MAANA ASIOOFANYA HIVYO PIA ITAKUWA LAWAMA KWAKE NA KUMUONA KAMA KIBARAKA WA SERA ZA MAGHARIBI KAMA ILIVYOKUWA MIAKA 1970 TO 80S
Yaan jamaa wanajikuta wanajuaaaaLabda kama unavuta wewe.
Nenda hata YouTube TAFUTA CGTN WORLD TODAY YA TAREHE 21 UTAIONA HIYO HABARI.
NA UKOME KULETA SHOMBO UMEEKEWA CHANZO KATAFUTE TAARIFA.
Tafadhali bhana,Pia Irani ndio taifa linaoloongza Kwa kuidai Tanzania....
Andika hiloTafadhali bhana,
Tutawauzia umeme kuanzia mwakani mpaka deni liishe
Israel ina anti ballistic missile system ni David's Sling. Haitumiki sana sababu hakuna anayerusha ballistic missile kwenda kwao.Silaha za Iran ni more sophisticated .
Jana US navy imeripoti ime intercept 3 ballistic missiles kutoka houthi kikundi cha Yemeni ambazo ni Iranian made zikiwa zimepigwa kuelekea Israel.
Inamaana Wana makombora ya kufika mbali na yenye nguvu kwasababu hata US navy pale Mediterranean walikiri kuwa yasingeweza kuwa intercepted na iron dome,maana iron dome no rocket intercepter sio missiles intercepter.
Deni kubwa sana?Andika hilo
We inaangalia dini tu,ndo macho yako yanachoo a,hutazami upande ambao UN wamesema mgogoro wa Palestine uishe na paws na mataifa huru kwamba Sasa Iran atasogeza mizigo bila kificho Syria, Lebanon kwa hizbullah na Hamas &Islamic jihad!..wote majirani wa IsraelUSA ni muhuni sana kaona amuruhusu ( nyuma ya pazia anajifanya hajapenda hayo maamuzi )
malengo ni anajuwa Iran ataanza jihusisha na migogoro ya mashariki ya kati kiwaziwazi na hiyo itamfanya Saudia aanze kumuona Iran kama tishio hasa kwenye kuenezea itikadi za ushia dhidi ya usuni , mwishowe yale mapatano yao ya juz yataingia dosari tu , WEST WAJANJA SANA NA NI LAZIMA IRANI AJAYE MAANA ASIOOFANYA HIVYO PIA ITAKUWA LAWAMA KWAKE NA KUMUONA KAMA KIBARAKA WA SERA ZA MAGHARIBI KAMA ILIVYOKUWA MIAKA 1970 TO 80S
Marekani alihudhuria kwa muwakilishi wake.Huenda Marekani hakuudhuria hicho kikao.
Kaka Wacha nikurekebishe.Israel ina anti ballistic missile system ni David's Sling. Haitumiki sana sababu hakuna anayerusha ballistic missile kwenda kwao.
Kwa Israel, Iron Dome ni system ya kawaida kabisa kwa ajili ya maroketi.
Kusema kwamba Israel hawawezi intercept ballistic missiles za Hezbollah ni kujidanganya. Hata mwaka 1948 walikuwa na mawazo haya, 1967 wakayarudia, 1972 wakayarudia ila kila vita ikiisha Israel ipo Middle East.
Nafasi pekee ya Israel kupigwa ilikuwa ni 1972 Misri ikiwa na jeshi la kwanza kwa ubora Middle East nzima na Syria ikiwa nchi yenye kauli na nguvu, wakati Soviet Union inawapa misaada na kuwauzia silaha, wakati bei ya mafuta duniani iko juu nchi za Kiarabu zinapiga hela zinanunua silaha kwa fujo. Kwa sasa Iran haitoshelezi kuipiga Israel, maana hakuna jirani yuko tiyari kudanganyika tena ili aumizwe.
Sijui kama hilo litafanikiwa maana mataifa ya kisunni kama Yemeni,Jordan na Iraq yamepaza sauti kuwa vita zipigwe ikiwezekana Hamas wasaidiwe na US na wengine wanaomsapoti Israel balozi zao zifungwe.USA ni muhuni sana kaona amuruhusu ( nyuma ya pazia anajifanya hajapenda hayo maamuzi )
malengo ni anajuwa Iran ataanza jihusisha na migogoro ya mashariki ya kati kiwaziwazi na hiyo itamfanya Saudia aanze kumuona Iran kama tishio hasa kwenye kuenezea itikadi za ushia dhidi ya usuni , mwishowe yale mapatano yao ya juz yataingia dosari tu , WEST WAJANJA SANA NA NI LAZIMA IRANI AJAYE MAANA ASIOOFANYA HIVYO PIA ITAKUWA LAWAMA KWAKE NA KUMUONA KAMA KIBARAKA WA SERA ZA MAGHARIBI KAMA ILIVYOKUWA MIAKA 1970 TO 80S
Hata Israel ina makombora kama Jericho-2 na Jericho-3. Iran haina anti ballistic missile system hivyo haina ulinganifu na Israel kwa vyovyote vile kwenye ulinzi huo.Kaka Wacha nikurekebishe.
Iran Ina makombora ambayo yanaweza kukwepa intercepter.
Kabla ya hizo air defense system za Marekani kwenda ni lini Israel ilishambuliwa na missile? Marekani imeenda sio kwamba ipigane sasa hivi, bali iweke deterrence ikitokea Iran inaingia. Israel iko hatarini kushambuliwa na Syria, Iran, Iraq na washirika kama Hamas, Islamic Jihad, Hezbollah na Houthi. Mbona inakuwa nongwa Marekani ikienda?Mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel haujitoshelezi USA ilikiri hilo na ndio maana wanapeleka air defense system zao zikailinde Israel.
Hayakuwa na vifaa imara kivipi?Iran Ina sophisticated Missiles mzee ambazo ISRAEL HAWEZI KUJILINDA NAZO.
Hiyo miaka hayo mataifa ya kiarabu hayakuwa na intelijensia imara wala vifaa imara.
Saddam Hussein hakuwa na radars mwaka 2001?Na mbaya zaidi hayo mataifa hayana military radar ila Iran anazo na ameruhusiwa kuuza mataifa mengine ndugu yangu mataifa ya kiarabu sasa hivi yatakua na military radar Kesha utaona kama Israel atakua na ubavu wa kutumia jeshi la anga.
Hata Hamas ilikuwa na uwezo wa kuanzisha vita, ila kumalizia sasa ndio changamoto. Hezbollah mpaka jana ilikuwa imepoteza wapiganaji 20 kutokana na kushambuliwa na Israel hivyo wana justification ya kuvamia. Israel imeishambulia Syria mara kadhaa, Lebanon, West Bank, Gaza, kasoro haijafanya kwa Jordan, Egypt na Iran. Anayehisi anaweza aende hamna shida, Iran ikusanye wafuasi wake waende maana haipakani na Israel kwamba itaenda bila mshirika.Jiulize tu kwanini USA anaipigia kelele Iran na anapeleka misaada ya kijeshi Israel???
Kupitia tu proxy wake Iran anaweza kuendesha vita.
UMEANDIKA MAELEZO MENGI AMBAYO NI USELESS.Hata Israel ina makombora kama Jericho-2 na Jericho-3. Iran haina anti ballistic missile system hivyo haina ulinganifu na Israel kwa vyovyote vile kwenye ulinzi huo.
Kabla ya hizo air defense system za Marekani kwenda ni lini Israel ilishambuliwa na missile? Marekani imeenda sio kwamba ipigane sasa hivi, bali iweke deterrence ikitokea Iran inaingia. Israel iko hatarini kushambuliwa na Syria, Iran, Iraq na washirika kama Hamas, Islamic Jihad, Hezbollah na Houthi. Mbona inakuwa nongwa Marekani ikienda?
Iran isimame single handedly na Israel uone Iran uwezo wake. Israel ikiamua kuhadabisha hiyo Middle East si inaanzisha kundi kama ISIS linazua tafrani ukanda mzima. Ila haitaki, tofauti na Iran yenye makundi miaka nenda ambayo hayaleti impact ya maana kwa Israel.
Hayakuwa na vifaa imara kivipi?
Soviet supplied T-55s na T-62s, that time T-62 ina miaka 10 tu imeingia field, leo kifaru bora cha Urusi T-92 kimeingia field miaka 31 iliyopita. Israel ilikuwa na Shotkal derivative ya Centurion kifaru cha 1960s. Havikuwa mbali kiteknolojia na kiuwezo ila kwenye Valley of Tears Syria ilipotea vibaya sababu ya training mbovu.
Egypt ilikuwa na anti tank missiles nyingi tena latest kutoka USSR kama Sager ikasababisha Israel iunde hizi Merkava za sasa baada ya vita na Israel ikaanza utaratibu wa kupeleka vifaru na infantry support.
Mostly ni training iliwashinda Waarabu, sio teknolojia. Kuhusu intelligence sasa ukishindwa hiyo unamlaumu nani. Vita gani Haina intelligence.
Saddam Hussein hakuwa na radars mwaka 2001?
Russia au Ukraine hazina radars kwa sasa, umeona wanashindwa kufanya airstrikes kisa kuna radars?
Wakati Israel inaenda kushambulia kinu cha nyuklia cha Syria na cha Irak havikuwa na radar installations na SAM sites? Israel ikalipua vinu vyao tena bila stealth fighters ambazo inazo kwa sasa.
Syria haina radars au haijui kwamba kuna tension eneo lake? Mbona Israel juzi ilishambulia runways za Damascus na mji mwingine kuzuia shipment ya Iranian weaponsView attachment 2790411
Hakuna nchi inajua SEAD, DEAD missions pale Middle East kama Israel.
Hata Hamas ilikuwa na uwezo wa kuanzisha vita, ila kumalizia sasa ndio changamoto. Hezbollah mpaka jana ilikuwa imepoteza wapiganaji 20 kutokana na kushambuliwa na Israel hivyo wana justification ya kuvamia. Israel imeishambulia Syria mara kadhaa, Lebanon, West Bank, Gaza, kasoro haijafanya kwa Jordan, Egypt na Iran. Anayehisi anaweza aende hamna shida, Iran ikusanye wafuasi wake waende maana haipakani na Israel kwamba itaenda bila mshirika.
Mkuu unapoteza muda wako hayo unayo yaongea usidhani ya kwamba hayajui ,anayajua sana ila anarazimisha kile unacho kuamini yeye ndo kiwe na sio uhalisia.UMEANDIKA MAELEZO MENGI AMBAYO NI USELESS.
HIZBOLLAH 2006 NADHANI UNAJUA ALICHOKIFA YA KWA ISRAEL.
IRAN UNAYOSEMEA WEWE INA HISTORIA KUBWA YA VITA KULIKO ISRAEL.
WACHA NIONGEE KWA SAUTI KUBWA UNIELEWE.
NARUDIA TENA MATAIFA YA KIARABU YA MIAKA 1900s HAYAKUWA NA USTADI WA VITA WALA INTELIJENSIA YENYE NGUVU HIVYO ILIKUA RAHISI WAO KUPIGWA.
IRAN UNAYOZUNGUMZA WEWE ILIWAHI KUCHANGIWA NA MATAIFA MATATU YENYE NGUVU KIJESHI USA,IRAQ NA FRANCE KWA MUDA WA MIAKA NANE NA WOTE WAKASHINDWA WAKAHITAJI MAZUNGUMZO MEZANI.
JUZI KUNA KOMBORA LILIRUSHWA KUTOKA HOUTHI YEMEN BATTLE SHIP YA USS ILIIDUNGUA NA ILIKIRI KUSEMA KUWA LILE KOMBORA KAMA LINGETUA ISRAEL BASI LINGEFANYA UHARIBIFU WEWE NI NANI BHANA MPAKA UBISHE???
HAMAS KIKUNDI KIDOGO KIMERUSHA MAROKETI TU ILA IRON DOME IMESHINDWA KUYADUNGUA KIKAMILIFU ASILIMIA 60 YA MAROKETI YAMEPITA.
HIZBOLLAH IMERUSHA SHORT RANGE MISSILES HAKUNA HATA MOJA ISRAEL WAMEWEZA KULIDUNGUA.
KAMA JUMAPILI HAMAS IMEWEZA KUWARUDISHA NYUMA MAKAMANDA WA IDF WALOTAKA KUFANYA GROUND INVASION KHANI YOUNIS JE WATAIWEZA IRAN???
IRAN UNAYOSEMEA WEWE NDIO INAMPA SILAHA RUSSIA DHIDI YA NATO NA UKRAINE NA VITA UKRAINE IMEWASHINDA HUKO.
HALAFU USITUDANGANYE IRAN INA MISSILE INTERCEPTER ZENYE NGUVU NA UWELEDI .
NA NDIO MAANA MPAKA LEO HATA STEALTH DRONE ZA USA ZIMESHINDWA KUFANYA UPELELEZI IRAN.
KUNA VIDEO IRGC ILITUMA YA SECRET TUNNELS ILIWA NA LONG RANGE BALLISTIC MISSILES ITAFUTE.
USA WENYEWE WAMEKIRI KUWA IRAN NDIO TAIFA PEKEE MIDDLE EAST YENYE MISSILE POWER.
WEWE NI NANI MPAKA UBISHE????
WALIOKIRI NI USA WE MBONGO UNAKATAA NINI???
NARUDIA TENA KUPITIA TU PROXY WAKE HIZBOLLAH IRAN ANAWEZA KUIMALIZA ISRAEL.
KAMA HAMAS TU IDF IMETUMIA MPAKA JESHI LA AKIBA JE IRAN IKIJIUNGA NA MAKOMBORA YAKE IRAN ITATUMIA NINJ??????
Ananishangaza sana huyu jamaa.Mkuu unapoteza muda wako hayo unayo yaongea usidhani ya kwamba hayajui ,anayajua sana ila anarazimisha kile unacho kuamini yeye ndo kiwe na sio uhalisia.