Alikua akiuza kiwiziwizi sana sana Russia .Mbona alikuwa akiuza tu? Au alikuwa akiuza kiwiziwizi??
Halafu unataka kuifananisha na kile kitaifa kimachodekezwa na wazaziMnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.
Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.
USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.
Chanzo: CGTN World Today
Na ni nzuri maana ndizo zilizotumika na Russia huko Ukraine zikawa game changer kiasi vita NATO imewaelemea .Daah afadhani maana zile drones nilikua nazitaman..........
Silaha za Iran ni more sophisticated .Halafu unataka kuifananisha na kile kitaifa kimachodekezwa na wazazi
Haha haha bangi nzuri sanaMnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.
Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.
USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.
Chanzo: CGTN World Today
Labda kama unavuta wewe.Haha haha bangi nzuri sana
Safi sana mizigo ipatikane kama naona oda za Hamas kila aina ya silaha.Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.
Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.
USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.
Chanzo: CGTN World Today
Iran mbabe.Wala hawawezi kumzuia.Keshawakandia sana.Labda sasa wanataka anyamaze kwa ajili ya Gaza ili malengo yatimieMbona alikuwa akiuza tu? Au alikuwa akiuza kiwiziwizi??
Kweli mkuu kuna waziri wa wizara moja ntamchukulia package yake.😁😁Daah afadhani maana zile drones nilikua nazitaman..........
USA ni muhuni sana kaona amuruhusu ( nyuma ya pazia anajifanya hajapenda hayo maamuzi )Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote.
Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano.
USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi huo kufanyika.
Chanzo: CGTN World Today
Drone ndo technologies inayowatesa hamasi kama wangekuwa nayo hawa jaamaa wangekuwa mbali sanaDaah afadhani maana zile drones nilikua nazitaman..........
Na vikwazo vitu hivyo ni Israeli analindwa kwa gharama yoyote lisotkee taifa lolote lenye tech za hali ya juu kuitawala mashariki ya katiMi Iran nashindwa tu hata kuielewa ni nchi ya namna gani; tangu nazaliwa ipo kwenye vikwazo na uangalizi mkali muda wote lakini naweza kusema ndiyo inayoonekana tishio kiteknolojia, kisilaha na maendeleo kwa ujumla.
myaudi wa Buza umeumwa 'na rohoHaha haha bangi nzuri sana