Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Hakuna kitu Marekani ni muvi tu siyo vita ...usiwe na shaka na haya maneno yangu hata chembe ni ukweli uliotukuka .Ta
Taifa lina jeshi dunia nzima alafu unasema ni picnic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu Marekani ni muvi tu siyo vita ...usiwe na shaka na haya maneno yangu hata chembe ni ukweli uliotukuka .Ta
Taifa lina jeshi dunia nzima alafu unasema ni picnic
Kwa magaidi wa hezbollah, hamas, houth anapeleka ngapi?[emoji298]️JUST IN
Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%.
Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola bilioni 30.9.
======================
The Iranian government has decided to increase Iran's military budget by 200%
According to SIPRI, Iran currently has a military budget of $10.3 billion. With a 200% increase, Iran's military spending will rise to $30.9 billion.
Afu anapigwa na Afghanstan hata budget yake haifiki 1 Billion 😄$30b wakati USA budget ni 800b Kwa watu wa hesabu ni kama mara 25+
We huoni Iran alivyo angusha vitu kama mvua haha wakati wengine walishia nje ya mpaka 😄Siku hizi Zana na Technologia ndio inapigana zama za "Human Wave" zimeisha.
Kumbe unadhani hizo bilioni zote za US ni kwa lengo la kuikabili Irani? Marekani ana maadui chungu nzima nje na ndani.$30b wakati USA budget ni 800b Kwa watu wa hesabu ni kama mara 25+
Sometimes vita ni biashara ndugu; wataongeza sana sales za silaha zao. Wale waliokua wana nunua from China, USA, Israel, NK, South Africa, Iran nayo itaingia kwenye ushindani; but itategemea na performance yake kwenye hi vita wanayoitarajia with IsraelSamahani lakini, hii nchi sasa inaenda kuyumba kiuchumi, uchumi wake upo kwenye mafuta kwa sasa inakabiliwa na migogora ya kuanguka kwa thamani ya sarafu yake, nadhani hali itaenda kwa mabaya zaidi kwa wananchi na kama ikiendeleza migogora na Israel kuna uwezekano wa vituo vya mafuta vinavyobeba uchumi wa irani kulipuliwa
Iran bado sana hata kwa Saudi Arabia Iran anachezea kichapo.We huoni Iran alivyo angusha vitu kama mvua haha wakati wengine walishia nje ya mpaka 😄
Kama ni kweli basi kuna kitu kizito kilipiga utosini ....Hiyo ni baada ya Ayatolah kuachwa Uchi na Antenna zake kuchomwa.😆
Unajua Bajeti ya Ulinzi ya Saudi Arabia?Haya ndio yale magazeti ya chakubanga nadhani ulikuwa mwandishi na wewe.
Achana na Budget sisi tunataka utueleze vita vyake na Al Houth alishinda, au alishindwa? Huyo ndio akapigane na Iran, ambaye ni simbaUnajua Bajeti ya Ulinzi ya Saudi Arabia?
Iran alitolewa kamasi na Saddam akapigana miaka 8Achana na Budget sisi tunataka utueleze vita vyake na Al Houth alishinda, au alishindwa? Huyo ndio akapigane na Iran, ambaye ni simba
Iraq alisaidiwa na warabu karibu wote na hakushinda vita 😄Iran alitolewa kamasi na Saddam akapigana miaka 8