Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
981
Reaction score
1,688
1454bff5-6321-42d6-b9f3-39080b99cf3f1.jpg
 
Iran imezionya Marekani, Uingereza na Ufaransa kutoisaidia Israel kukomesha mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Tehran, kulingana na shirika la habari la Reuters likinukuu vyombo vya habari vya serikali ya Iran.

Ripoti zinasema kuwa Tehran italenga vituo vya kijeshi na meli zilizoko katika eneo hilo ikiwa nchi hizo tatu zitaiunga mkono Israel.

Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema "Tehran itaungua" ikiwa Iran itaendelea kurusha makombora.

Katika maoni yaliyotolewa wakati wa tathmini na maafisa wa kijeshi, Katz anasema: "Dikteta wa Iran anawageuza raia wa Iran kuwa mateka na kuunda ukweli ambao wao, haswa wakazi wa Tehran, watalipa gharama kubwa kwa shambulio la jinai dhidi ya raia wa Israel."
 
FB_IMG_1749892176212.jpg
Huyu anakunywa Alkasusu na Allah saa hizi, mdomo umemponza.
 
Iran imezionya Marekani, Uingereza na Ufaransa kutoisaidia Israel kukomesha mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Tehran, kulingana na shirika la habari la Reuters likinukuu vyombo vya habari vya serikali ya Iran.

Ripoti zinasema kuwa Tehran italenga vituo vya kijeshi na meli zilizoko katika eneo hilo ikiwa nchi hizo tatu zitaiunga mkono Israel.

Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema "Tehran itaungua" ikiwa Iran itaendelea kurusha makombora.

Katika maoni yaliyotolewa wakati wa tathmini na maafisa wa kijeshi, Katz anasema: "Dikteta wa Iran anawageuza raia wa Iran kuwa mateka na kuunda ukweli ambao wao, haswa wakazi wa Tehran, watalipa gharama kubwa kwa shambulio la jinai dhidi ya raia wa Israel."
Huyu ashaanza kuchanganyikiwa
 
Sasa najiuliza Israel mmoja ana mpa woga huu je hao anao watishia wakiungaka live live ataweza kupambana nao wote kwa wakati mmoja
Kwenye kushambuliwa mbona waliungana?
Kwenye kuzuia shambulizi lake mbona waliungana?
Unataka waungane mara ngapi dhidi yake?
 
Back
Top Bottom