Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hapana dada, Trump ameweka hizo data i.e gharama kubwa zilizotumika, ambazo sio uhalisia wa mambo yalivyo, ili tu kuwatisha Iran ambao budget yao ya jeshi ni ndogo. Kiuhalisia ni vitisho tu, angekuwa anamaanisha wala asingekuwa na haja ya expose exact figures walizo invest kwenye hizo silaha, ni mkwara mbuzi tu wala usitishike na Trump.Labdà ww unatamani kuona vita kati yao, vinginevyo Trump hana simile kbs
Mnachekesha kweli, hivi mnacheza na super power
Ni maoni yako ww lakini wwngi tunamjua vinginevyo.....Ambacho hukijui ni kwamba Trump huwa ana huruma sana na nimuoga wa vita balaa!
Unajidanganya wairan sio waarabu, si wayahudi wala caucasus..
Hawa wameelezwa kama persians kwenye biblia, na mafursi katika biblia hiyohyo( swahili version).
Unaposema hivi ni kama vile kusema hata waturuki ni waarabu.. Far from true..
Rudi vitabuni, mitandaoni soma
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini unaweza kuilinganisha Iran na Marekani kwa nguvu za kijeshi?Hapana dada, Trump ameweka hizo data i.e gharama kubwa zilizotumika, ambazo sio uhalisia wa mambo yalivyo, ili tu kuwatisha Iran ambao budget yao ya jeshi ni ndogo. Kiuhalisia ni vitisho tu, angekuwa anamaanisha wala asingekuwa na haja ya expose exact figures walizo invest kwenye hizo silaha, ni mkwara mbuzi tu wala usitishike na Trump.
Hapana dada, Trump ameweka hizo data i.e gharama kubwa zilizotumika, ambazo sio uhalisia wa mambo yalivyo, ili tu kuwatisha Iran ambao budget yao ya jeshi ni ndogo. Kiuhalisia ni vitisho tu, angekuwa anamaanisha wala asingekuwa na haja ya expose exact figures walizo invest kwenye hizo silaha, ni mkwara mbuzi tu wala usitishike na Trump.
Safi sana!Wanawaita Persian Jews Hawa wanatoka katika uzao wa mfalme Suleyman wa Babel wana asili ya uyahudi walikuwa na lengo la kumuondoa muisrael tokea enzi za yesu hawa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasema na Somalia waliipiga US, utasema na North Korea inaogopwa na US, akili ndogo sihitaji hata kubishanaVietnam nayo ilikua ni Superpower wkt inatoa kichapo kwa mashoga wa US?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Marekani alipigwa na vikundi vya vibaka kule Afghanstan naweza kusema Iran anaweza kumkalisha vizuri tu japo dunia itaambiwa kuwa US amempiga Iran kwa data na reports za kupikwa kama hizi.Lakini unaweza kuilinganisha Iran na Marekani kwa nguvu za kijeshi?
Sijawahi kuona nuclear war..I wish Trump alianzishe so we can see what nukes feels like.
Bila kusahau kutaja majina yote manne:Halafu huko kwa MABEBERU utasikia Mr. President au Madame President
Ila huku kwa dunia ya tatu hasa Africa utasikia His Excellence Honorable President au Her Excellence Honorable Vice President
Africa full kujimwambafy na kujitukuza kama miungu
Sent using Jamii Forums mobile app
All options are on the tableIran War thread 21/25
Iran has what Vietnam had - Vietnam had ALREADY defeated Japan & France, by the time US went in. Iran has what Afghanistan had - Afghanistan had ALREADY defeated Britain & Soviets (Russians) before US went in. And USA could not win its OWN wars vs VN & Afgh
Iran War thread 22/25
I do not mean, that Iran could in any way 'win' against the USA (like invade Texas or Alaska haha). But the USA CANNOT DEFEAT an enemy like Iran, this strong, this big, this competent, this HEAVILY ARMED with ADVANCED weapons who is UNIFIED & experienced
Iran War thread 23/25
Trump & Pompeo are pushing for a war against Iran. Trump wants ANY war to distract from his problems. A war in Iran would be NOTHING like the 'easy' wars in Iraq. War in Iran would be like the mess in Vietnam & the unending war in Afghanistan - only WORSE
Iran War thread 24/25
If Iran had done something HORRIBLE - like how Saddam Hussein INVADED and took over Kuwait - then maybe it might make sense to build a coalition for war. What we should know is that TRUMP's lender - SAUDI ARABIA - want American soldiers to go die in Iran
Iran War thread 25/25
Saudi Arabia sees Iran as its regional rival. While both are Muslim nations, they have differing religious views (Iran is Shia, Saudi is Sunni). Saudis would love nothing more, than to see Iranian blood spilled - by AMERICAN soldiers dying there. Wrong war!
PS
A war with Iran will not be quick, easy as Iraq
A war with Iran will be as bloody as North Korea
A war with Iran will be as unwinnable as Vietnam
A war with Iran will be as long as Afghanistan
USA will be as hated as with Vietnam
Americans will hate this war like Vietnam
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Hujui uombalo maskini.......Sijawahi kuona nuclear war..I wish Trump alianzishe so we can see what nukes feels like.
Go Trump.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasema na Somalia waliipiga US, utasema na North Korea inaogopwa na US, akili ndogo sihitaji hata kubishana
[emoji2][emoji2]
Iran's Ballistic Missile Capabilities: 100,000 Missiles in 7 Minutes