King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea kuamini hivyo. Kichwa cha Trump hakiko sawa, anaweza kulianzisha wakati wowote akionekana kupuuzwa......Huo ni mkwara tuuu!
Labdà ww unatamani kuona vita kati yao, vinginevyo Trump hana simile kbsTrump ana mdomo mrefu sana na kweli huo ni mkwara mbuzi tu hamna lolote.
Kweli kabisa. jamaa hamnazo kabisa sijui waamerika waliwaza nini kumchagua huyu jamaa,lakini UZURI WA AMERIKA RAIS HAS NOT HAVE A FINAL SAY OVER WEAPINS USES.KAMA HAPA UBANTUNI TANZANIA,WAO WANAYO MABARAZA YA HEKIMA YANAYOPATA MSAADA WA MAWAZO KUTOKA KWA SHETANI MWENYEWE.HAWATAMRUHUSU.
Sidhani kama Iran watafanya lolote siku za usoni kujibu shambulizi la Marekani kwa huyo general. Kitendo cha kupandisha red flag ni kama kitisho tu ili mmarekani nae tumbo limkate. Strategy ambayo nauhakika Iran wata infiltrate magaidi na kuwapiga marekanj kwao pale in small scale. Sidhani kama itatokea watu wakaingia uwanja wa vita. Wataendelea kupasuana chini kwa chini.Iran inabidi afikirie kuhusu wananchi na uchumi wake kwasababu kuna nchi 3 nyuma ya Marekani. Na Marekani alivyomshenzi anaweza kumtumia Saudia Arabia au Israel kwenye vita. Ila Saudi Arabia ndiyo nzuri sana kuitumia kwenye vita kuliko Israel kwasababu kuna Makka na Madina pale. Iran asamehe na akae kimya tu maana hata Russia na China wanayataka mafuta ya Iran.
Ambacho hukijui ni kwamba Trump huwa ana huruma sana na nimuoga wa vita balaa!Unakosea kuamini hivyo. Kichwa cha Trump hakiko sawa, anaweza kulianzisha wakati wowote akionekana kupuuzwa......
Wala Iran haiitaji kushinda vita dhidi ya America...... Lengo ni kuitia hasara kuu tu.
Hii ni cold war mkuu, ni mikwara tu kwa kwenda mbele hakuna ataeingia vitani sana sana zitakua ni mashambulizi tu kwa airstikes au terror attacks.Mnachekesha kweli, hivi mnacheza na super power
Iranians are Persians....not ArabsHao waarabu wajue kabisa kwa Sasa kila wanachopanga kukitekeleza jicho Kali la tai linawafatilia kwa ukaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app