Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Kweli kabisa. jamaa hamnazo kabisa sijui waamerika waliwaza nini kumchagua huyu jamaa,lakini UZURI WA AMERIKA RAIS HAS NOT HAVE A FINAL SAY OVER WEAPINS USES.KAMA HAPA UBANTUNI TANZANIA,WAO WANAYO MABARAZA YA HEKIMA YANAYOPATA MSAADA WA MAWAZO KUTOKA KWA SHETANI MWENYEWE.HAWATAMRUHUSU.
Nakuelewa... sikuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia kwa makini ni kama Us kaharibu mkakati wake wa muda mrefu.. kama bunge
la Iraq litaamua kumtimua Us basi,itakuwa
vema kwa Irani kwa sababu Us atabaki Kuwait,Saudi na Qatar(Lakini zenye Washia)...kwa Turkey kaharibu..pia yupo Libya..kwa Wakurdi kaharibu.
Dunia kwa kigezo cha energy imegawanyika kuwili..bahati mbaya sana karibu robo tatu ya umma wenye kiu ya mafuta hauna semi nzuri na Us pia mabwana vita wa Us ,ISIS wamezimwa na Iran pia na Russia kimsingi Iran ana offensive base kubwa kuliko Us.
Iran hana budi kukaa kimya ili Us awekeze katika maandalizi ya vita ambayo ni gharama kubwa kwa uchumi wa Us.
1.kwa kuweka vifaa na askari wengi ghuba
2.usalama wa biashara ya mafuta kwa washirika wake.
hii itatoa fursa zaidi kwa altenative trade isiyo husu matumumizi ya dola..kwa Iran,Asia na Russia na Turkey.
Ikiwa Us ataingia vitani ajue anamface Russia na China..indeed WWIII.
 
Sun Tzu.

Bonge la military strategist.

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana huyo jamaa, master of deception. Anakuambia

"All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near"
 
Iran kashaanza cyber attack kwenye Austrian Foreign Ministry.

Anatest zali. Banking systems za US zikae makini.

Ukisikia banking systems za US zinavamiwa kwa cyberattacks, ujue Iran huyo.

Tatizo US banks huwa hawasemi.

Ila tunaofuatilia na wenye access tunajua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wanyamaze na wakae kimya.

Awamu hii Trump hatanii.
Screenshot_20200105-130304.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia ni kuwa US kweli anaweza kuwa na budget kubwa lakini vita sio kuwa na watu wengi wala silaha nyingi. Vita ni strategy. Kama nakumbuka vizuri nilipomsoma Sun Tzu kwenye The Art of War.
Iran washaanza cyberattacks. Wanakuja kimtandao zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah daah noma sana hapo adui lazima ashindwe kuusoma mchezo.
Noma sana huyo jamaa, master of deception. Anakuambia

"All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran inabidi afikirie kuhusu wananchi na uchumi wake kwasababu kuna nchi 3 nyuma ya Marekani. Na Marekani alivyomshenzi anaweza kumtumia Saudia Arabia au Israel kwenye vita. Ila Saudi Arabia ndiyo nzuri sana kuitumia kwenye vita kuliko Israel kwasababu kuna Makka na Madina pale. Iran asamehe na akae kimya tu maana hata Russia na China wanayataka mafuta ya Iran.
Nyie ndo mnawalisha watu roho za uoga.
Mtu anakuingilia mpaka chumbani kumla mkeo anakukula kiboga na wewe bado unakaa kimya?
Mwanaume yeyote anayedindisha hajazaliwa na roho ya uoga.

Waache wafe kishujaa waingie kwenye record ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom