Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tafuta kitabu cha The Art of War usome mkuu. Ukiniambia yaliyoandikwa na Sun Tzu ni "traditional way of fighting" wakati kitabu hujasoma na recently miaka ya 70s US alipigwa na Vietnam kwa mbinu zilizoainishwa na Sun Tzu mwaka 500 BC utakuwa unafurahisha umati na hujafanya tafiti yoyote au hujawahi hata kumsikia Sun Tzu. Soma ndio ubishane kwa hoja sio mihemko.Ni kweli at times kuwa vita vinategemea kuhadaa, lakini vitu vingine ni obvious. Maspy unakuta yamepandikizwa karibia kila mahali na wakiwa na taarifa za msingi karibia za kila kitu. Mawazo yake kwa ile "traditional way of fighting " ilikuwa sawa ila kwa sasa mengi yamebadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app