Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Tafuta kitabu cha The Art of War usome mkuu. Ukiniambia yaliyoandikwa na Sun Tzu ni "traditional way of fighting" wakati kitabu hujasoma na recently miaka ya 70s US alipigwa na Vietnam kwa mbinu zilizoainishwa na Sun Tzu mwaka 500 BC utakuwa unafurahisha umati na hujafanya tafiti yoyote au hujawahi hata kumsikia Sun Tzu. Soma ndio ubishane kwa hoja sio mihemko.
Vita vya Somalia au Vietnam vinavyoimbwa kila siku havikuwa vita serious, kuna Mmarekani anaachana navyo siyo kwa sababu kashindwa ila vitamwingiza kwenye garama ambazo si za lazima, 1970's mpaka leo kuna mabaliko makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aramco Undergoes Stern First Test Less Than a Month After IPO

By

Filipe Pacheco

1/5/2020, 3:46:18 PM

Source: Saudi Aramco

Saudi Aramco’s status as an oil-producing behemoth located in one of the world’s most turbulent regions always marked it as likely to suffer bouts of volatility.

But few could have expected the stock to face so stern a test less than a month after the company’s historic $25.6 billion initial offering.

The world’s most profitable company tumbled 1.7% Sunday, the most in more than two weeks, as the U.S. killing of Iran’s most prominent general last week triggered fresh concern of a wider conflict in the Gulf region. While Aramco performed better than Saudi Arabia’s benchmark Tadawul index, the sudden rise in geopolitical tension comes just as the end of the stabilization period for the shares nears following the Dec. 11 sale.

“ said Jameel Ahmad, a markets analyst at FXTM in London. The drop in Aramco shares “is a natural reaction to the coordinated risk aversion that has swept global sentiment since the events at the end of last week.”

The drone attack that killed Iran’s General Qassem Soleimani, ordered by U.S. President Donald Trump, was a reminder of the risks of investing in the region. In September, Saudi Arabia’s oil production was cut by half after a swarm of explosive drones struck at the heart of the kingdom’s energy industry. The U.S. and Saudi Arabia blamed Iran for the attack, while Yemen’s Houthi rebels claimed responsibility.

Aramco was back pumping 9.9 million barrels a day just one month after the attacks and the company pressed ahead with what was to be the world’s biggest IPO.

Risk Premium

At the time of the sale, many foreign investors and analysts cited geopolitical risk as reasons to stay away from the shares, and considered them too expensive.

Aramco still has some built-in protection because the shares are mostly in the hands of those used to regional politics, mitigating selling pressure at times of tension. Saudi government institutions invested almost $2.3 billion in the IPO. The government also relied heavily on ordinary Saudis and funds from neighboring Gulf Arab monarchies to ensure the success of the offering.

On top of that, Goldman Sachs Group Inc. is acting as share-stabilizing manager for the offering until the end of this week, and has the right to exercise a so-called greenshoe option of 450 million shares. No price-stabilization transactions had been executed as of Dec. 31, according to a statement from Aramco.

“Very few active managers are in the stock and most shareholders are either government-related entities, quasi-passive or passive,” said Marwan Haddad, senior portfolio manager at Emirates NBD Asset Management in Dubai. “Therefore volatility would be low unless an actual attack takes place, which we believe has a low probability. Moreover, as the oil price goes up, downside risk falls.”



Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA iko mbali Sana, hawa maboya kamanda wao kapigwa usiku akiwa kazini.

Lazima wajiulize kuwa USA iko kila kona ya dunia.

Iran itafumuliwa na America itaweka utawala mpya, watachimba mafuta kufidia gharama za vita.

Iran tulieni tu, Ayatollah watakuja kumkamata Kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekiuka sheria za kinataka,yaani wamefanya ugaidi,kila ugomvi una kampuni zake
 
Vita vya Somalia au Vietnam vinavyoimbwa kila siku havikuwa vita serious, kuna Mmarekani anaachana navyo siyo kwa sababu kashindwa ila vitamwingiza kwenye garama ambazo si za lazima, 1970's mpaka leo kuna mabaliko makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umeongea nini sasa? Ukikimbia uwanja wa vita kwasababu yoyote ile inamaana umepigwa.

Kutoka mwaka 1970 hadi 2020 ni miaka 50
Kutoka mwaka 500BC mpaka mwaka 1970 ni miaka 2470 sasa unataka kusemaje hapo? Still The Art Of War ni complete material kwa strategies za kivita. Ile ni kitu ni universal.
 
Ulitaka waungane kumsaidia mtu alieenda kuchokoza watu asiowaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamaanisha hivyo isipokuwa naangalia Tu jinsi hawa jamaa wanavyokosa ushirikiano.
Jana usiku UK, FRANCE, GERMANY wamefanya kikao Kwa njia ya mtandao ili kuisaidia US kama Iran ataishambulia hapo ndiyo utaona hata Sisi waafrica na waarabu ni watu wa kutengana tu
 
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta

Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata IDD amin hakupigana vita ya kagera pekee yako ukiona hivyo ujue kuna MTU ameshamjaza upepeo ila aangalie asije akamkimbia tu.vita mbaya soon tutauziwa petrol 10,000 kwa literungu epushia mbali hii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapambana na USA uku unatumia Twitter, Facebook, Google, iPhone, window, Visa, Master card, Symbian, Instagram, Android, Wikipedia, internet na wakati izo zote ni silaha kwa USA anaweza akaanza kutrace account zote kukutafuta
Huyu Javad zarifu namuonea huruma na iyo Twitter wazungu wanamuinjoi tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Viti ni zaidi ya unavyojua wewe labda nikuulize mboan marekani alikimbia vita ya kijinga kabisa somalia ameshindwa nini kuwadhibiti na technology yao yote wakitia mguu wanachinjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikao
IMG_20200105_125947.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wajua kuliko Trump, CIA na wengine ndani ya Marekani
Marekani wamevunja sheria za kimataifa na vile vile sheria ya marekani iliyoandikwa kama Executive Order 11905 iliyotolewa February 18, 1976, na Rais Gerald R. Ford ikipiga marufuku staasisi za serikali ya Marekani kufanya mauajiya viongozi wa kiserikali wa nchi nyingine kwa sababu za kisiasa. Amri hiyo ilifanyiwa marekebisho na Rais Jimmy Carter mwaka 1978 kama Executive Order 12036.

Kwa vile Kassim Seleman alikuwa ni kiongozi wa kiserikali wa Iran siyo stateless terrrorist kama Osama bin laden alivyokuwa, mauaji hayo yamevunja executive order hizo. Ni afadhali wangemwua kimya kimya halafu wasitanganze (covert operation). Hili la sasa linatoa mwanya kwa nchi nyingine pia kufanya assasination za viongozi wa nchi wasizopenda kiholelela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom