Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Narudia tena kwa niaba yake,ni shithole tu.

dodge
mkuu hivi uyo jenerali aliwahi kuja afrika kweli maana nimemsikia mtangazaji wa wasafi fm anasema alishiriki vita afrika mashariki na kati kidogo nipasue aisee
 
[emoji16][emoji16]daah....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clap clap..clap

Sent using Jamii Forums mobile app
 

USA haiwezi kuiteketeza dunia, they will never do that, Never! Itaathiri sana biashara zao watafeli vibaya mno. Wanadeal na nchi moja moja tu ambazo wanainterest nazo ila sio dunia aisee. Alafu wa_Iran sio waarabu.
 
Hapo jamaa lazima watajibu tu mapigo...wanaweza kumuua kiongozi yeyote yule wanchi ambayo ni kibaraka wa USA.... au kiongozi wa USA kimya kimya..halafu wakakausha...inaweza isiwe katika wakati huu...wakasubiri kidogo huu upepo uishe kisha watekeleze azimio lao..... ngoja tujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA haiwezi kuiteketeza dunia, they will never do that, Never! Itaathiri sana biashara zao watafeli vibaya mno. Wanadeal na nchi moja moja tu ambazo wanainterest nazo ila sio dunia aisee. Alafu wa_Iran sio waarabu.
Kuiteketeza nchi kivipi?,hizo silaha za kuteketeza hata kimtaa tu ni ngumu,itskuwa nchi kweli
 
Naam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala sio iran na USA tu... katika masuala ya vita unapaswa kuwa unajifunza kuwaangalia na wale ambao wapo nyuma ya nchi hizo zinazo Taka kupigana...je zina nguvu ipi ya kijeshi..... ukishabaini hilo basi Waweza kutambua kuwa vita inaweza isiwepo.. au kama ikiwepo basi yaweza kutokea hata WW3....

USA hawezi kupigana vita katika wakati huu ambao china yupo nyuma yake akimkimbiza kwa lengo la kumpiku kiuchumi huku russia akizidi kujiimarishia nguvu ya kijeshi na kuanza ku-take Ushawishi Hapo mashariki ya kati " Endapo vita itatokea mashariki ya kati basi itakuwa ni faida kwa russia kuweza kuuza silaha zake za kivita mashariki ya kati na russia watazidi kuimarika zaidi...mwisho w siku atakuwa n ushawishi mkubwa sana middle east na china nao hawatokuwa nyuma katika kufanya biashara na nchi mbali mbali..uchumi USA pia uta shake..............hii itasaidia kwa mataifa adui kwa USA kuweza kujitanua na kunufaika zaidi....

Hivi mnadhani kuwa vita watu huwa wanapigana tu kibwege......

Mimi hadi kuna wakati huwa nafikiria kuwa huwenda USA na IRAN wana cheza deal ili waweze kupiga pesa.....

Maana USA anapokuwa katika conflict na iran kwa namna moja au nyingine ...mtafaruku wao unawapa homa mataifa mengine ya middle east yazidi kuiogopa iran at the same time wanalazimika kununua silaha USA kwa wingi ili waweze kujilinda na vitisho vya iran ......... kisha USA akishapiga pesa anampatia iran fungu lake ...

Then maisha wanaendelea"....sisi tunageuzwa mapopoma tu" huku wenzetu wanaingiza pesa za kutosha tu
Lakini unaweza kuilinganisha Iran na Marekani kwa nguvu za kijeshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hakuwa na kitu cha ku-offer kwao ulitaka wampe tu backup bure bure....... maisha ya siasa huwa ni win win situation.... unataka kitu basi na wewe toa kitu in return....

Mbona mpaka sasa maduro yupo Madakani kwa backup ya russia --na USA wamekimbia?
Russia waondoe ni wanafiki wakubwa tena sio wakuwategemea ukiwa na vita walimdanganya gadafi mwanzoni alivyoanza kupigwa wakakaa kimya Kama hawamuoni vile

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16]vita vya Vietnam havikuwa serious.... wewe itakuwa umerogwa sio bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…