Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Well Ila IRAN Kama Wangelikua Wanacheza Deal Na US Sidhanii Kama Wangekubali Litokee Hili La SOLEIMAN


NEVER....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayetaka kujinyonga hatangazi; Trump kafanya yake bila mbwembwe kama wao wanalipa walipize waache ngonjera.
 
Huu ushabiki tu,Kama hazijawahi onekana duniani wewe umezijuaje?
Unatudanganya tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hayo maeneno ya 'Iroshma na Agaski' yatakua yanapatikana huko Bukoba labda.

dodge
 
Athari kubwa ya kisasi Cha Iran dhidi ya marekani ,kwa cc afrika na Tanzania ni kupanda kwa Bei ya mafuta ,hii ahadi ya kisasi Chao siyo kizuri kabisa madhara ni mengi hapa ,cyo tu kwa hao wa Iran but hata cc Africa..mafuta mafuta mafuta Bei kupanda tutegemee hili ohooo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui unawaza nn wewe! Yaani Irani ifanye deal na Marekani kwa gharama ya kumpoteza Kamanda wake Mkuu wa jeshi wanayemkubali na kumtegemea hivyo?! Nitakuwa wa mwisho kukubali mtazamo wako huu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…