hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah but wewe huna hata hiyo poor reasoning ni shonde umejaza kwa kichwa.
hahahahha
Wanajeshi 58,000 wa US walikufa.
Mabilioni ya USD yalitumika kwenye hio vita,in return US ilipata nini?
Wa vietcong hawakujali suala la wao kufa na walifanikiwa kutetea taifa Lao.
Mmarekani akakimbia baada ya kuona mziki ni mnene.
Sent using Jamii Forums mobile app
zimepitishwa wapi na lini hizo?Katika sheria za vita--- Anayekimbia Vita ndiye huwa ameshindwa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia waondoe ni wanafiki wakubwa tena sio wakuwategemea ukiwa na vita walimdanganya gadafi mwanzoni alivyoanza kupigwa wakakaa kimya Kama hawamuoni vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Vietnam walikufa wangapi na US walikufa wangapi?
Na Vietnam iliachwa na hali gani baada ya vita?
Sent using Jamii Forums mobile app
islamic states zote zinamsupport muiran,,na leo iraq wamepitisha azimio la kuwafukuza majeshi ya usa kwenye kambi yao,,trump kafura sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila IRAN Kama Wangelikua Wanacheza Deal Na US Sidhanii Kama Wangekubali Litokee Hili La SOLEIMANSuala sio iran na USA tu... katika masuala ya vita unapaswa kuwa unajifunza kuwaangalia na wale ambao wapo nyuma ya nchi hizo zinazo Taka kupigana...je zina nguvu ipi ya kijeshi..... ukishabaini hilo basi Waweza kutambua kuwa vita inaweza isiwepo.. au kama ikiwepo basi yaweza kutokea hata WW3....
USA hawezi kupigana vita katika wakati huu ambao china yupo nyuma yake akimkimbiza kwa lengo la kumpiku kiuchumi huku russia akizidi kujiimarishia nguvu ya kijeshi na kuanza ku-take Ushawishi Hapo mashariki ya kati " Endapo vita itatokea mashariki ya kati basi itakuwa ni faida kwa russia kuweza kuuza silaha zake za kivita mashariki ya kati na russia watazidi kuimarika zaidi...mwisho w siku atakuwa n ushawishi mkubwa sana middle east na china nao hawatokuwa nyuma katika kufanya biashara na nchi mbali mbali..uchumi USA pia uta shake..............hii itasaidia kwa mataifa adui kwa USA kuweza kujitanua na kunufaika zaidi....
Hivi mnadhani kuwa vita watu huwa wanapigana tu kibwege......
Mimi hadi kuna wakati huwa nafikiria kuwa huwenda USA na IRAN wana cheza deal ili waweze kupiga pesa.....
Maana USA anapokuwa katika conflict na iran kwa namna moja au nyingine ...mtafaruku wao unawapa homa mataifa mengine ya middle east yazidi kuiogopa iran at the same time wanalazimika kununua silaha USA kwa wingi ili waweze kujilinda na vitisho vya iran ......... kisha USA akishapiga pesa anampatia iran fungu lake ...
Then maisha wanaendelea"....sisi tunageuzwa mapopoma tu" huku wenzetu wanaingiza pesa za kutosha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya hivi karibuniMkuu:
Hii lini tena, mbona hatujainyaka, ni ya hivi karibuni?
Mtaa? Uliza USA alichowafanyia watu wa Nagasaki na Hiroshima.Kuiteketeza nchi kivipi?,hizo silaha za kuteketeza hata kimtaa tu ni ngumu,itskuwa nchi kweli
Huu ushabiki tu,Kama hazijawahi onekana duniani wewe umezijuaje?Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta
Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta
Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe waajemi au mabaniani ndio hao hao tu Bibi yao mmoja
Sijui unawaza nn wewe! Yaani Irani ifanye deal na Marekani kwa gharama ya kumpoteza Kamanda wake Mkuu wa jeshi wanayemkubali na kumtegemea hivyo?! Nitakuwa wa mwisho kukubali mtazamo wako huu!!!Suala sio iran na USA tu... katika masuala ya vita unapaswa kuwa unajifunza kuwaangalia na wale ambao wapo nyuma ya nchi hizo zinazo Taka kupigana...je zina nguvu ipi ya kijeshi..... ukishabaini hilo basi Waweza kutambua kuwa vita inaweza isiwepo.. au kama ikiwepo basi yaweza kutokea hata WW3....