Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Vipofu utawasikia "ZIPIGWE TU" Utafikiri ni mechi ya juzi ya Simba na Yanga!Athari kubwa ya kisasi Cha Iran dhidi ya marekani ,kwa cc afrika na Tanzania ni kupanda kwa Bei ya mafuta ,hii ahadi ya kisasi Chao siyo kizuri kabisa madhara ni mengi hapa ,cyo tu kwa hao wa Iran but hata cc Africa..mafuta mafuta mafuta Bei kupanda tutegemee hili ohooo!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app