Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Mishoga ni hiyo miajemi inayosaidiwa manati na china, russia na north korea halaf inajitapa nimerusha ballistic 180 Israel akiulizwa aoyeshe matokea ya kurusha hizo manati muajemi anabaki kung'ata lips
Mishoga ya kiajemi inatumia houth, hezbollah, hamas, na wengine na still myahudi kachil zake Israel
Lishoga Iran kiongoz wa hamas anauliwa ndani ya Iran tena kwenye jengo lenye ulinzi mkali punga Iran limekaa tu kihasarahasara
 
Madhara ni yapi hayo makombora yameua wangapi, wakuu wangapi wa jeshi la Israel wameuwawa na hayo makombora?
Nani alikwambia lengo la Iran ni kuua raia? Au mmezoea kwasababu mnaona kila siku Israel anaua raia wasio na hatia ukadhani ni sera ya kila taifa?

Iran yeye anapiga miundombinu ya kijeshi halafu anatulia anasikilizia kama uta retaliate then anakushushia kichapo kikali zaidi.
 
Israel ni mkorofi na huwa anatafuta sababu ili akubonde vizuri. Irani nae si wa mchezo mchezo sasa hapo tutegemee balaa zito. Tusiiombee hii itokee ni mbaya sana.
Israel ubavu wa kuhit iran hana labda kwa msaada wa usa,tegemea tu ripoti itakayotoka hizo missile azijaleta madhara halafu mchezo uishie hapo
 
Wenzako si magaidi hawapigi raia wanapiga miundombinu ya kijeshi.

Kwa wingi huo wa makombora angeamua kupiga makazi ya raia ingekuwa habari nyengine.
Hizo manati zimedakwa na iron dome zingine zinajiangukia tu ka gari bovu
Itan asitaman kumuua myahudi acha uwongo wewe huna hata haya?
 
Wabunge wao wako busy kuondoana Uongozini Wakati uchumi wao uko hoi

Tuzidi kuwaombea πŸ˜„
 
Ndo maneno yenu ya kufarijina baada ya manati kukatika pole
 
Hivi albadili inaweza kuua nguruwe,,, nataka kuua nguruwe kadhaa mda sio mrefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…