Hio haiwezi kutokea akiua raia ujue Israeli watabaki mbwa tu yale mabaliistic sio pipi zile alafu Irani sio gaza, muulize Marekani alimuua kamanda 1 tu lakini kambi zake 2 zilikua majivu na Zaid ya mia wanajeshi walienda mpaka leo USA akisikia ayatola aamtajibu ujue sio utaniTegemea kusikia Pray for the Children and women in Iran
Anyway, ngoja niendelee kunywa kahawa huku Buza
Akili ya bikira 72 sijui kwanini zinakuwaga fupiJehova anatufwa na mungu w Iran saidieni kusambaza habari mungu w irani yupo tel vivlv kafika adi Jerusalem lkn jehova kawaacha taifa teule pekeyao wanalia kama gaza.
Unang'ata na kupuliza Kama panyaaIsrael ikijibu mapigo ya Iran watu wataanza kulia humu.
Watch this spaceโฆ.
Subiri, this time mtageuzwa kifusiHatimae baba yao kajitokeza baada ya kuona watoto wanakula kichapo kila mara. Ngoja tuone kama yeye atafua dafu.
Source : Msikiti Tv๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.
#BREAKING ๐จ๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐ฑ The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."
These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.
View attachment 3112600
Angalia hii clip, hio ni Air base ya Israel inakuwa decimated, wanapohifadhi ndege zao, ni eneo ambalo bila shaka linalindwa vibaya mno, hili eneo sio muhimu?Ballistic mbona yana mifumo ya kuzuia sema imekuwa saturated wakalinda maeneo muhimu tu. Arrow 1, 2 na 3 ni anti-ballistic.
Battery moja ya Arrow 3 ndio inaweza zuia makombora 10 ndani ya dakika. Hiyo miwili ni chini ya hapo. Ujio wa makombora mengi kwa pamoja ni changamoto.
So hakuna ndege inayopiga Lebanon tena๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.
#BREAKING ๐จ๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐ฑ The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."
These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.
View attachment 3112600
Source: kitimoto TV๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.
#BREAKING ๐จ๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐ฑ The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."
These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.
View attachment 3112600
Mkuu Israel ilipeleka ndege ila hawa wanatuma missiles!! Precision ya bomu linalotupwa kwa ndege ni kubwa kuliko linaloagizwa kilometer maelfu!!Hivi hawa wapinzani wa Israel mbona silaha zao Nyepesi sana., nikiangalia mbomu aliopigwa nao Hassan Nasrallah ni mbomu kweli kweli .
Mi nadhani washauriwe waachane na Hii vita
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท
Baad ya Iran kutoa kipigo cha mbwa mwizi usiku huu na kuchoma kambi za kijeshi za Israel imeangamiza ndege za kisasa zilikua Navatim air base.
#BREAKING ๐จ๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐ฑ The Iranian attack destroyed a number of F-35 warplanes in "Nevatim" air base (Video). Missiles also destroyed F-15 warplanes in other bases like "Hatzerim."
These planes, which were used to bomb the Gaza Strip and Lebanon with over 85,000 tons of explosives in the last year, have been rendered out of service by the IRGC.
View attachment 3112600
Aisee ukaiwekea bold kabisa๐๐๐Kisayansi hii tunaiita WORK DONE = 0
Makombora zaidi ya 200 ambayo Iran imefyatua kuelekea Israel hakuna Muisrael hata moja aliyuawa,
Mtu pekee alieuawa ni Mpalestina moja kwa jina la "Sameh Al Asali," baada ya moja ya kombora kulipukia eneo la Palestina
Ni zamu ya Israel kujibu na wao kawaida yao huwa wanalenga zaidi viongozi.
Tutegemee kelele za vilio vya Free Iran na Cease Fire ??
Israel Hana uwezo wa kumpiga Iran.Israel haihitaji msaada wa Marekani kuipiga Iran. Inachangia kama support tu. Ni sawa na rafiki yako tajiri awe na harusi ya binti yake umchangie kwa upendo ila haimaanishi usipochanga harusi inadoda au bila michango harusi haifani.
China haifanyi maamuzi kwa akili za kukurupuka.
Singโati wala sipulizi.Unang'ata na kupuliza Kama panyaa